TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Aisee Huyu demu ni mzuri vijana tutafute pesa . Maanake vijana wa kwenda kumshughulikia Huyu mrembo hawakuepo kabisa
 
Wanaomlaumu mzee labda hawajaona ile clip ya m7 akiponda viongozi wa Africa wanaong'ang'ania madaraka hiyo ilikua mwaka 1986 alipoingia madarakani, nyie mnaomlaumu mzee siku mkizeeka msije mkajidai mmesahau hizi kauli zenu.
 
Binti ni mrembo huyu jamani vijana tunakwama wapi au umasikini ndio unatutafuna View attachment 1680767View attachment 1680768
 
Alishalipa na alikuwa na juisi na maji ya kunywa[emoji28][emoji28]

Ukute ni juisi ya 700 na maji ya hill ya 600

Dada chips kavu na mishkaki 3 ya jerojero

Bajeti nzima haikuzidi 50k
Mnaongea haraka haraka.....
mnasahau kitu kinaitwa tigopesa,mpesa, huenda alikuwa na hela nyingi huko...
Mm mwenyewe ukinisachi utanikuta nina elfu kumi,kumi na tano but ukicheki acount yangu ya tigo unakuta nina mil 4.7
 
Wacheni michezo yenu mibovu.....!!!
na ujuaji wenu wa kizembe..!
maiti zina shepu yake alaaa!!
 
Hello everyone in Dsm

Today is the 17th of January 2021

There has been an increase in admissions into health facilities in the past week

I would like to advise you to maintain precautions as follows:

1. Avoid unnecessary gatherings
2. Wear face masks in public places
3. Adhere to hand hygeine and social distancing practises

Thank you

Please share this message and bring about awareness.

Dr. Murtaza Shk. Ayman - Saifee Hospital DSM
 
Wamawake nyie sahv mnawakimbia vijana mnafata wazee mnasema vijana hawatoi hela
Na wakati wa kupiga show wanasimamia baiskeli!
Sahv mtapata kesi sana nyie [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Sio kwamba Mzee alipigwa na covid 19 second wave......UK type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…