TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Hasa kijana wa 30 akioa msichana msichana miaka 15 au 20 tofauti si ni kubaka.

I agree kuwe na tofauti ya miaka ila sio 20, gap ikiwa kubwa sana mtagombana kila siku huyu anawaza fasheni mwenzie anataka mjenge... interest zinakua tofauti hii inaleta frictions
 
Alikuwa na sh 37,000 mfukoni na kachukua chumba Mbezi garden...

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi watu hawabebi pesa Kama wewe. Kuna bank transfer na mi mpesa, tiGO pesa nk.
Halafu wazee wa mjini wenye kujiamini huwa wanalipia chumba Cha Gesti mwezi mzima ili kiwe free muda wowote kwa ajili yake.
 
Mtu aliyekufa anajulikana mzee hata kwa kumuangalia kwa macho
 
Kuna siku ilitaka kunikuta hyo Hali.
Nipo Gest na mwanamke wangu.
Usiku mida ya saa 8 namuamsha mtu haamki viungo vimekaza kweli,amsha amsha na wewe nikasema Sasa hili balaa gani tena.kama dakika 5 namuamsha mtu haamki.jasho likaanza kunitoka nikasema huyu kafa nini.
Yaani mpaka nilipoenda kuwasha taa ili nimuangalie vizuri.ndo namuona anajinyoosha [emoji16][emoji16].nilichokaaa na hamu zote ziliniisha.nikamuuliza wewe unalalaje hivyo nakuamsha dakika 5 haumki akasema alipitiwa na usingizi mzito.
 
Kuweni makini na majina, majina huendana na maisha, mfano, Mpango - waziri wa mipango, Magari - mwenyekiti wa wamiliki daladala, Kengele - mwenyekiti wa chama cha wapanda baisikeli na huyu Kibaya ametenda jambo baya na mume wa mtu hivyo kusababisha jambo baya kumtokea.
 
alimuinamisha wapi,barabarani ama?na kama ilikuwa chumbani nyinyi mliwezaje kuwaona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…