Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Extrovert babu alijilipua iki kinu kingemtesa assume kinge mpa style ya dog style au kuchuma tembele au kudadadeki babu angezima kati kati ya game balaaaahView attachment 1680826
View attachment 1680827
View attachment 1680828
Picha ndio hizo na dada ndio kama alivyo, kudadeki
Kifo chake sababu ni ajali!Siku ya kuaga ndio kutakua na shughuli. Pale pakusema umauti ulimkuta desh desh akiwa amebugia vidonge vya desh desh
Akisubiri amninihii nanii aliyekua anakula chips
Ata nyumba angeweza mjengea mzee sio choka mbaya!Being honest unadhani huyo Marehemu angeweza afford iPhone 12 kweli??
Mambo mengine mabinti wanajidhalilisha mno! How do you even begin to open your legs for such an old man?? Kweli taswira ya mzazi wako, uncle wako or even babu yako haikupati as he climbs you!?!
Mabinti wajitathmini, pesa sio kila kitu in Life!!!
Hata huyu dada watawekaje picha yake? na ni nani huyu aliyetoa hizi picha maana sio za katika tukio utasema labda mtu kawapiga picha. kuna kitu hapa hakiko sawa.Huuu ni udhalilishaji kwa Marehemu na Familia yake. No Privacy at all
Kama picha ya huyo msichana ndie muhusika, hebu mchunguze vizuri! Hivi anawezekana akawa amefikisha miaka 33 kweli huyo?! Au kwa kuona aibu kuwa na mzee wa miaka 80 ndo akajifanya ana miaka 33 ili angalau iendane endane kidogo!
Gest kuna mipepo ya kila ainaKuna siku ilitaka kunikuta hyo Hali.
Nipo Gest na mwanamke wangu.
Usiku mida ya saa 8 namuamsha mtu haamki viungo vimekaza kweli,amsha amsha na wewe nikasema Sasa hili balaa gani tena.kama dakika 5 namuamsha mtu haamki.jasho likaanza kunitoka nikasema huyu kafa nini.
Yaani mpaka nilipoenda kuwasha taa ili nimuangalie vizuri.ndo namuona anajinyoosha [emoji16][emoji16].nilichokaaa na hamu zote ziliniisha.nikamuuliza wewe unalalaje hivyo nakuamsha dakika 5 haumki akasema alipitiwa na usingizi mzito.
Nakula wa level yangu asee.. na ni wa kali kuliko hizo taka taka tajwaaa.. hao media tu ndio zina wananyua ila wa kawaida sanaaa 😃😃utakuwa unawagonga akina Ebitoke ww. Fata kitu msumari kama Uwoya, Shidua, Tessy chocolate uone kama hujapigwa K.O.
Tu Sake pesa ndugu hawa viumbe wanaangalia pesa tu hakuna la zaidi! Wata kudanganya tu wee mcheshi hakuna lolote apo kauka cash uwone!Hahahah ni ngumu sana kumshawishi nyani kuwa asali ni tamu kuliko ndizi😁!!!
Washakuwa sikio la kufa hawa ndugu zetu
Alipukutishwa hapo
Alitumwq achukue dogodogoHuuu ni udhalilishaji kwa Marehemu na Familia yake. No Privacy at all
Jamii ya wajita. Musoma hukoooKijana David Makerebe alikua Ni kabila la Mluli. Waluli Ni watu wa mkoa gani? Au Ni ndugu na wangoni?
Heri ya mwaka mpya mkuu!
Kazi ya kitaifa hiiTukamuwekeye dhamana mzee jirani yangu
Ningekuwa mm ndio huyo dingi .....
ningepambana nirudi nipige hata goli moja ndio nsepe mazima.....
mtoto mzuri kweli walah bilah!