Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mimi kuipenda avatar yako itakuja kuniua! [emoji848]Unaambiwa " ukipendacho ndicho kitakachokuua
Unaongea tu, unless awe baba ambaye hajafanya lolote katika maisha yako. Ila kama ana mchango mkubwa kwako utazika tena kwa kukodi gari la maiti lile la 1M.Ningekuwa yeye mke nisingetoa hata chozi moja. Hata angekuwa baba yangu nisingetoa hata chozi moja. Tena tungemzika kawaida mno. Akitoka mortuary ni moja kwa moja makaburini au safari mkoani Kwanza kama ni mkristo misa hatosomewa wala ibada ya mzee wa kanisa au katekista. Ni aibu kubwa mno.
Kabisa aisee poor woman mzee ametoka hai bukheri wa afya anarudi maiti doh... aibu juu ya msiba, na binti atajuta yaani huu msala sio wa kitoto hata kidogo tamaa zimemwingiza matatizoni
Mamwela wamepiga pection wakang'oa M kwenye mboli. Hizo ni chenchi za mfuko wa Ghorofani tu.37,000Tsh chanje baada ya kupigwa search 😂😂
Baba mtoto msumari kweli yani, hio chuma ya Vieite ndio ulimbo wao, hapo uongei mengi. Unashusha kioo na kukunja kidole cha shahada tu,,,unaskia mimi? eeh wewe njoo upande nikusogeze kidogo.
hahahahah ukiwa na v8 hutumii nguvuWewe jamaa upo charming sana, nimecheka kinouma nouma eti unakunja kidole cha shahada tu [emoji23][emoji23][emoji23] unaskia mimi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo ya kulala na mtu ( ambae sio mke/ mume wako mpaka asubuhi mizinguo kweliKuna siku ilitaka kunikuta hyo Hali.
Nipo Gest na mwanamke wangu.
Usiku mida ya saa 8 namuamsha mtu haamki viungo vimekaza kweli,amsha amsha na wewe nikasema Sasa hili balaa gani tena.kama dakika 5 namuamsha mtu haamki.jasho likaanza kunitoka nikasema huyu kafa nini.
Yaani mpaka nilipoenda kuwasha taa ili nimuangalie vizuri.ndo namuona anajinyoosha [emoji16][emoji16].nilichokaaa na hamu zote ziliniisha.nikamuuliza wewe unalalaje hivyo nakuamsha dakika 5 haumki akasema alipitiwa na usingizi mzito.
Lipo la kujifunza kwa vijana haiwezekani mdada mzuri namna hiyo kimuonekano kuwa na mahusiano na mzee wa miaka 80 huku vijana mumejaa tele.
Vijana hawana pesa.Lipo la kujifunza kwa vijana haiwezekani mdada mzuri namna hiyo kimuonekano kuwa na mahusiano na mzee wa miaka 80 huku vijana mumejaa tele. Teh.
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]Mitoto ya kike ni ngumu sana kuielewa....unalitongoza hapo unakuta age difference ni miaka mitano au 4,utasikia mi sitaki we mkubwa sana.....kumbe kuna kina Onyango for real 90yrs and plus wanajilia tu kwa mrija.....haya maisha nyie,daah.
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili ni fundisho kwa dada zetu wakome kutembea na wazee a.k.a shikamoo jazi kwa mwendo huu watapewa sana kesi za mauaji ni bora wakomae na vijana tu wazee wa kusimamia ukucha malipo malipo buku teni
Haya maelezo nahis binti karahisisha tu itakua mzee kakata moto wakati game inaendelea maelezo yanepunguzwa ukali hyaMikasi ilikuwa tayari, au bado?!
Ahaaahaaaa[emoji28][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787]Inawezekana huyu jamaa/Mze alifariki kwa presha ila kwa kuwa demu ni Mpare nina mashaka makubwa sana hapa. Wanawake wa Kipare na wa Kichagga, ni big No no no for me, to hell with them.
Now days mademu wa kishua wanaongoza kudanga kuliko Hawa wa buza...Huyo binti anaonekana wa kishua, imekuwaje akubali kuliwa na mzee umri wa Babu yake. Kwa ahadi y’a elfu thelathini tu??.
Waache shauri zao, wanatuacha sie wazee wenzao wanakimbilia wajukuu, ee sawa.
Na hapo ndio umegusa penyewe. Every action has a consequence hilo ndio lakutambua.
So msiseme tunawakandia kuwa ni used guds...hayo ni matokeo ya matendo yao so they should deal with it.
Watamfanyaje kwani? Babu si kajifia?Kabisa aisee poor woman mzee ametoka hai bukheri wa afya anarudi maiti doh... aibu juu ya msiba, na binti atajuta yaani huu msala sio wa kitoto hata kidogo tamaa zimemwingiza matatizoni
Acheni kupotosha..Vumbi la Kongo haliwezi kuwa mbadala wa Viagra kwa wazee..Sildenafil zinapunguza pressure kwa kufanya mirija ya dushe kutanuka na kujaa damu vizuri..i.e inasaidia mwanaume adindishe vizuri na kwa muda mrefu kwa wenye tatizo la erectile dysfunctionMungu amsamehe huko aendako,, Mimi Sio daktari,, lakini VIAGRA hizi ni mtihani mkubwa,,,
Tangu mwanzo wakati nasoma tu huu uzi akili yangu ikaanza kusense kwenye Viagra. Sio mchezo. Mzee alitaka pesa yake iende ki halali,,, Siku hizi wenzie wanatumia "Vumbi la Congo", Viagra wameshaishitukia, hakunywa maji ya kutosha huyo..
Huyo mwanamke ndiyo huyo kwenye picha ???.