Hivi shida ni nini?
Wanakula Sana chipsi zege?
1. Tatizo kubwa ni stress ndio zinachangia sana upungufu wa nguvu za kiume!! Kijana wa 20s wengi bado kula kulala hawazi hela ya kodi,hawazi kodi ya meza,hawazi hela ya ada ya watoto,etc yeye muda mwingi ni kutulia kijiweni au sebuleni anaangalia TV kwahiyo mwili wake unakuwa hauna uchovu wala stress!!
2.Magonjwa - Watu wengi wana magonjwa bila wao kujijua matatizo ya pressue ,kisukari ,cholesterol,vidonda vya tumbo,bawasiri,constipation etc Magonjwa hayo yana athiri sana libido/sex drive.
3.Watu wengi hatuna elimu ya mazoezi ya viuongo...Ili Mtalimbo usimamae inahitajika flow nzuri ya damu,sasa kama damu haiflow vizuri obvious mashine lazima itakuwa legelege ,kufanya mazoezi ya kukimbia ,kutembea hukufanya mwili kuwa na flow nzuri ya damu ,pia kuna kergel nayo inasaidia sana kuleta stamina kwa kukuza pc muscles.
4.Mazoea/Kuchokana-Hapa mwanamme/mwanamke anakua haonyeshi ufundi au mashamsham kama awali walipokuwa wanakutana,tabia hii ya kuleta mazoea kwenye uhusiano nayo inachangia hata kupunguza mizuka ya ku do!! Ili mtalimbo usimame unahitaji pia mashamsham kutoka kwa mwenzi ,inahitaji mvuto! Sasa awali m/ke alikuwa figa figali shepu shepu chuchu konzi 6 oclock baada ya muda mwili futu futu kama kiroba au sanamu la michelini au mwili kama betina flat screen aka rula aka namba 1 hapo lazima mzuka uishe.
5.Elimu ya misosi:- wengi hawaelewi uhusiano wa misosi na nguvu za kiume ,kuna misosi inachangia sana katika kuongeza amount ya semen au hormones za kiume ambazo ndio msaada wa kukufanya kuwa mwanamme,kula matunda(tikiti) na mbegu(maboga),maji kwa wingi nayo yanamsaada katika sector hiyo.