TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Huyo mdangaji.wanaume tulieni njia mkuu wanakula hela mkiugua mnakimbilia kwa wake zenu.Hatuhukumu ila kuna baba alimtesa mkewe alivyofariki padri alivyomaliza ibada ya mazishi mama,akasema naomba nichape kaburi la mume wangu kanitesa sana. Tulibaki tunalia kwa uchungu.
C n P
 
Unamaanisha mwanaume apunguze kufanya sex ili awe imara mpaka uzeeni?
Kabisa hii kanuni inatumika kila sehemu mpaka katika vifaa vya umeme na kadiri kinavyotumika ndiyo ufanisi unapungua zaidi. Ndiyo maana huwa nawaonea huruma sana vijana wanao ona ya kuwa uanaume ni kuchachua hovyo bila mpangilio.

Ama kuhusu kuwa imara mpaka uzeeni hili ni jambo maalumu, kwalo uzee huja na mambo mengi. Ila ni kosa la jinai mtu kutumia dawa za nguvu za kiume.

Sisi wenye wake wengi, tunajua mengi sana kuhusu nyinyi.

Wafikishie salamu hizi vijana maeneo hayo.
 
Umesa kweli.
 
Cheza kwa step so as you can have a healthy uzee! Haya mashimo hayana mwisho ![emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Umesema kweli.
 
Acha vijana wapige show..wakizeeka watulie tu.

Hizo nguvu za uzeeni zitatoka wapi?
 
Ajali kazini RIP Mzee..
 
Hivi bado hajazikwa tu huyu lijendi, Mtaani huko Lindi kuna lijendi ndio karudi leo yuko na familia yake sasa hivi anasimulia jinsi alivyofanikiwa kupona ile vita ya Mbezi Garden ,wanamsikiliza kwa makini kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…