TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Hilo na 37,000 mfukoni siwezi kuamini kabisa na mapolisi wetu hawa mh! 🤣
🤣 🤣
 
Hii imeisha, tuliobaki tusali sana na kumuamini YESU
 
Anyway amepigana vita..... ameumaliza mwendo. Ataonana na mjukuu wake kipenzi wa miaka 33 hapo baadae
 
Hilo na 37,000 mfukoni siwezi kuamini kabisa na mapolisi wetu hawa mh! 🤣
🤣 🤣
Hiyo pesa kwa huyo mzee ni ndogo sans. Polisi waliamua kuacha ya kuripotia tukio. Ila nina uhakika alikutwa na pesa zaidi ya hiyo. Hasa ukizingatia alikuwa hajamtoa huyo Dada na balance ya yeye kurejea kwake
 
MAFAO alikwenda kula na mjukuu wake MBEZI GARDEN , kwa kawaida mwanaume ukifika miaka 80 Plus ukapata binti mdogo hasa hawa watoto "wanaofinyia ndani" lazma upate mshtuko wa moyo , ufe.
 
Pisi kali imeua huko.

Mzee kala viagra na energy kutaka kumpelekea moto....
Kaenda motoni
 
Pisi kali imeua huko.

Mzee kala viagra na energy kutaka kumpelekea moto....
Kaenda motoni
Wamasai wanachanganya madawa ya kila aiana wanawapea wastafu , wanatuulia wazee wetu: TFDA na TBS wanafungia hospitali na ZAHANATI kwa kukosa mtaalamu aliyehitimu kuuza dawa ila WAMASAI wanaochanganya unga wa betri, dawa ya kukaushia maiti, ugoro, unga wa pembe za ndovu na energy drink na kuita mkongo wanaruhusiwa kuuza hadharani, wanasababisha watu kuua figo zao na kufa ghafla kama mzee wetu huyu mstaafu.
 
Inauma sana
Halafu wengi wanaanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…