TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Unazungumzia 2M? Yote ya nini, witty akipigwa Full tank mbili tu anatoa zaga bila kipengele [emoji23][emoji23][emoji23] hamna mwanamke mgumu mbele ya pesa! Kuna ushawishi wa pekee kwenye hela.

[emoji23][emoji23][emoji23] Naliona sana hili huku uraiani yaani mwanamke mnunulie chakula kizuri, mnunulie vi heinekein chupa chache na mwisho mpakie katika vitz hata kama ni ya kuazima.

Ukipata upenyo upaki sehemu yoyote yenye giza na hakika unakula mzigo kwenye siti ya gari [emoji23]
 
Yes zinaua but ukilinganisha waliochangiwa na umri mkubwa zaidi ni wengi kuliko boosters pekee!

A woman in her 80s mostly anawaza vitukuu na ugoro, rarely kumuona akihangaika na kutafuta sex but for men it’s different, they spend all their lives to their last breath trying to go back where they came from, urafi + laana!

Imagine unazaliwa unatokea kwenye uchi then seconds before you depart from this world the last thing in your sight ni uchi!!!
This is the call of nature....... hakuna kuacha mpaka kuingia kaburini!
 
Saizi tutakuwa tunakwepa vizee japo kuhonga vipo vizuri nimekumbuka mmoja hata kutembea ilikuwa shughuli afu alikuwa na kitambi mwenyewe anahema juuu juu 😀😀😀
 
...... this is the call of nature....... hakuna kuacha mpaka kuingia kaburini!

Safi sana! Sisi waombolezaji tupo and we promise tutakuwepo mpaka mwisho!

Call of nature my foot! Endeleeni kupokea hiyo “call” tuendelee kujifunza “why men die earlier before women!”
 
Yes zinaua but ukilinganisha waliochangiwa na umri mkubwa zaidi ni wengi kuliko boosters pekee!

A woman in her 80s mostly anawaza vitukuu na ugoro, rarely kumuona akihangaika na kutafuta sex but for men it’s different, they spend all their lives to their last breath trying to go back where they came from, urafi + laana!

Imagine unazaliwa unatokea kwenye uchi then seconds before you depart from this world the last thing in your sight ni uchi!!!

Sex si natural urge? Kwani tunalazimisha? Si unasikia kwa akili, mwili, na hasa maeneo yanauozunguka mapaja kuna kitu unataka? The only problem hapo ni kuendekeza uzinzi nje ya ndoa at that age. Mkewe yupo, hako kabinti ambacho hukapandi bila kutumia boosters kanini?
 
Uko sahihi Chief. Siku tukikumbuka kwamba tunao uwezo wa kuyatawala mazingira na sio mazingira yatutawale, tutapiga hatua kiasi chake.
 
Kuna mobile transactions siku hizi bro,unakwama wapi??:halaf unawaamini vp polisi kuwa kilichokuwepo ndo hicho walichoswma?? Kma Kuna dola 500 waliificha je??
Reading between the lines, that was my message. Hela imefichwa
 
Sasa vijana wamejichokea na wengine wamerudisha mira kwa kipa, acha wazee wajilie.
Si bora wajilie vijana tu mana wazee wenyewe ni mwendo wa kutembelea choki mwisho wa siku wakina neema kupewa kesi za mauaji
 
Back
Top Bottom