witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Kwahiyo hatapelekwa mahakamani?Familia ya babu je itamwacha salama? hapa kuna usumbufu usio wa lazima coz kesi kama itakuwa polisi bado wataanza zile usitoke nje ya makazi mpaka ruhusa kipindi chote cha shauri hili yaani kifupi kutakuwa na usumbufu wa hapa na pale otherwise kama familia itatupilia mbali ishu iliyopo Polisi kwa ajili ya kuendelea kulinda privacy ya Mzee aliyetangulia ndio pona ya binti.