TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Msiba huko wapi nimejikuta nimewiwa sana kwenda kumzika huyu Kamanda aliyefia kwenye vita ya wote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ajali kazini hii, ila fedheha mno kwa familia yake. Huyu msichana wa kipare alikuwa akifanya kazi ktk frem pale Goba ambazo ni mali ya huyu mzee baba kamanda.
Duh kwa Iyo siku uyo dada ukute aliaga anaenda kumwangalia mgonjwa kumbe anaenda kibla mwenyewe
 
Huyu mzee hii ni tabia yake toka ujanani

Alishazoea kuzurura g.h na visichana huyu

haya ndo malipo yake
 
Bado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
😂😂 dua la kuku hilo
 
Ajali kazini hii, ila fedheha mno kwa familia yake. Huyu msichana wa kipare alikuwa akifanya kazi ktk frem pale Goba ambazo ni mali ya huyu mzee baba kamanda.
Huyu dada alikuwa anauza bidhaa gani mkuu maana kama niliwahi kumuona hapa mjini. Vipi hizi picha ni za kwake halisi, kuna rafiki yake anamtetea hapa nataka nimpe ushahidi wa kutosha.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787] hakuna K ya bure amini hivo mpaka siku unaondoka humu duniani!

Na hali inazidi kuwa tete

Extrovert
Mnatugonga retention fees sana hadi tumeamua kuwaachia washua sasa 😝
 
Now days mademu wa kishua wanaongoza kudanga kuliko Hawa wa buza...

Kingine huyo mzee nahisi hiyo papuchi alikuwa anaipiga frequently.. na sheria inasema Kama una mke afu una kimada ambae ushamwambia umeoa kama Mara ya kwanza ulipiga kwa 300k, Mara ya pili inaweza kuwa 200k na jinsi mnavyozidi zoeana ndivyo hela inazidi pungua huwa inafikia kipindi unakula Hadi mzgo kwa mkopo
Kuna wajinga madem wakiwaomba 100,000 wanakata mawasiliano. Wasichokijua ni kwamba kwa wataalam hiyo laki ni kama kujiunga na bundle tu. Zinafuata zote unakua unapiga tu
 
Lipo la kujifunza kwa vijana haiwezekani mdada mzuri namna hiyo kimuonekano kuwa na mahusiano na mzee wa miaka 80 huku vijana mumejaa tele. Teh.
Hivi huyu mtoto kati ya 37,000 iliyobaki angepata mgao wa shingapi[emoji848]
FB_IMG_1611071512754.jpg
FB_IMG_1611071507852.jpg
FB_IMG_1611071388226.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Naliona sana hili huku uraiani yaani mwanamke mnunulie chakula kizuri, mnunulie vi heinekein chupa chache na mwisho mpakie katika vitz hata kama ni ya kuazima.

Ukipata upenyo upaki sehemu yoyote yenye giza na hakika unakula mzigo kwenye siti ya gari [emoji23]
Mwanamke ukimlisha akanywa na akashiba vizuri una uhuru wa kumfanyia chochote...Huwa wanakuwa submissive automatically..
 
We nyau kweli[emoji76][emoji76][emoji76]

Mi nimehongwa zaidi ya hizo takataka sijui 2M na uchi sijatoa

Kutoa uchi ni maamuzi sio pesa! Hii nazungumzia upande wangu!

Narudia K naitoa kwa maamuzi yangu sio eti unibabaishe na hela, kama ni hela na mimi ninazo mfyuuuu
Amua basi unitunuku mie yatima 😊 witty
 
Ningekuwa yeye mke nisingetoa hata chozi moja. Hata angekuwa baba yangu nisingetoa hata chozi moja. Tena tungemzika kawaida mno. Akitoka mortuary ni moja kwa moja makaburini au safari mkoani Kwanza kama ni mkristo misa hatosomewa wala ibada ya mzee wa kanisa au katekista. Ni aibu kubwa mno.
kusema ni rahisi sana yaani nisimzike mshua kwa heshima zote kisa kafa na Neema pisi kali,labda mama siyo mimi mtoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom