Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kumbe alikuwa mtumishi wake...Dah! Watumishi lives matter.Ajali kazini hii, ila fedheha mno kwa familia yake. Huyu msichana wa kipare alikuwa akifanya kazi ktk frem pale Goba ambazo ni mali ya huyu mzee baba kamanda.