The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Hapo kwenye 37,000/=.... Hahahahaha, kwa hiyo Babu alikuwa anamlipa kifuta jasho shilingi ngapi huyo manzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari hii ilipaswa kufichwa majina ili kuwapa faragha wahusika,Yaani Mimi nikivaa viatu vya mke wa marehemu vinanibana!!
Analia kufiwa na mume? Analia mumewe kafa akiwa na mwanamke mwingine nyumba ya wageni? Analia kwa kifo Cha aibu kilichomkumba mumewe? Analia anawawazia wanae wanajisikiaje juu ya tukio?
Yaani analia na haelewi hasa nini kinamliza.
Khaa wanaume mengine mtupunguzie jamani. Kuna umri ukifika jaribuni kushindana na hiyo mnayosema "necha"
Ndo mujitahidi Mkuu mana ndo kama hivyo vizuri vinachukuliwa na wababu. 😀Wanawake kutwa kutaka hela
Wanataka sim magari ndomana wanakimbilia wazee....acha wakutane na misala sasa
Ova
😀😀Rafiki na sie tunapenda mama.. watoto wadogo wadogo bado wachafu hawajui kujisafi ngoma bila bila hapo 😶😶
Inabidi wakomae kuzisaka aisee. Japo wenyewe wanasema wazee wanakuwa hawana majukumu eti.Vijana hawana pesa.
Huezi jua alishapewa ngapi mpaka anafika hapo Mkuu.Hivi huyu mtoto kati ya 37,000 iliyobaki angepata mgao wa shingapi[emoji848]View attachment 1681375View attachment 1681376View attachment 1681377
[emoji23][emoji23][emoji23]ligi ishaanzaHeheheee mlivyoambiwa na Tundu muandamane uliandamana au ulijificha hapohapo nyuma ya keyboard [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujue tu wengi wanayo tabia kama ya huyu baba, wanajipima siku ikiwafika itakuwajeHuu uzi mpaka dakika hii umefikisha comment 725 sikutegemea kama ungefikia hapa ...... tena umewekewa Hashtag Tanzia
Ha ha ha ni kweli aseeSasa mpwa nikikukuta na mtu mnafurahi huku mnakunywa juice utaniangalia tu? Si lazima useme kitu ili mjombaako niondoe chenga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] duuh basi hiyo edit ni nyokoo, mtoto tumbo flatNdio
Anauza product za kuongeza hips makali while yeye hana anajiedit[emoji16][emoji16] hana tako wala hips, sura mzuri
😂😂😂
😁😁😁😁Heheheee mlivyoambiwa na Tundu muandamane uliandamana au ulijificha hapohapo nyuma ya keyboard 🤣🤣🤣🤣🤣
😥😥😥Lifisiemu hilo.....
hana hekima hata kidogo.....
wakati wa uchaguzi alikuwa anarusha makombora ya hovyo sana.....
Mtu mwenye hekima zake njoo ushushe nondo
Humu tafadhali uzi huu bila cmnt yako haipendezi
mama D
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hehehe uwiiii[emoji16][emoji16][emoji28][emoji1787][emoji23]Mwanamke ukimlisha akanywa na akashiba vizuri una uhuru wa kumfanyia chochote...Huwa wanakuwa submissive automatically..
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Unajua umenipiga hizi u know u know nyingi mpaka sasa mie nimeshindwa elewa hapa tuna argue kitu gani....refresh my memory
Unamaanisha mwanaume apunguze kufanya sex ili awe imara mpaka uzeeni?Great to see that you are finally coming around!
In males, Over using your Organ ni sababu moja wapo ya kufika uzeeni ukiwa mnara hausomi vizuri na nguvu za mwili kiujumla kupotea!
Cheza kwa step so as you can have a healthy uzee! Haya mashimo hayana mwisho !
Lakini sii kweli kwani walioolewa sii ndio wanachofanyiwa na waume zao...kulishwa wakashiba baadae wanatoa tuu papuchiHehehe uwiiii[emoji16][emoji16][emoji28][emoji1787][emoji23]
Endeleeni kujidanganya
Wee masikini kumbe mnateseka hivo?Hajui ni jinsi gani virungu/vichwa vidogo vinavyosumbua nyie!!??
muda wote vinatamani kukaa kwenye mashimo malini yenye joto......
tungesema siku moja tuwaazime haya magegedo mngechanganyikiwa nyie.....
mnaongea tu kwasababu hamjui hali halisi!
Mie navyojua ukigegeda sana ndio unazidi kuwa hodariUnamaanisha mwanaume apunguze kufanya sex ili awe imara mpaka uzeeni?
Ha ha haMabaharia njooni huku......
kuna ganda la ndizi mtelezo.....
wapo mademu hawahongwi fedha....!!
kujeni tupige kambi.....