Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

Tunatakiwa kushukuru kwa kila jambo, maana aliyetoa ndiye aliyetwaa. R.I.P. mzee Dude.
 
RIP mzee. Alinifurahisha alivyo igiza ikiwalamba walimu Bakora na mitama!! Ha ha ha ha!!!
 
ohooo!!!poleni sana wana futuhi.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 

Attachments

  • 1390852968258.jpg
    1390852968258.jpg
    9.9 KB · Views: 833
Kalale pema mzee Dude. Poleni, braza k, na kikundi chote cha FUTUHI
 
Back
Top Bottom