Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

R.I.P mzee. Nilikuwa naikubali sana kazi yake.
 
Tulikupenda sana,lakini mungu kakupenda zaidi,jina la bwana liabudiwe
 
Niliwahi kusikia kuwa FUTUHI ni ile ngozi laini kwenye tundu ya kutolea haja kubwa, au nimekosea?

Wewe jamaa unaonekana hata shule ulipita kwa msaada wa mungai, 'key word' hapa ni kifo cha mzee Dude ww unauliza futuhi na maana yake, kama unaona kifo cha huyo mzee hakijakugusa kaa kimya kuliko kuweka utumbo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…