Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

Death is REAL. All Be warned. Rest in Peace kamanda.
 
Msanii Mzee Dude enzi za uhai wake. kuna MTU aliuliza picha il a nimeshindwa kuiattach Kule kwenye post husika. samahanini kwa hilo
 

Attachments

  • 1390860112123.jpg
    69.1 KB · Views: 685
Apumzike kwa amani Babu, ametoka uzeeni sijui kama alishaanza kula matunda ya usanii
 
basi pole, maana hiyo ni comedy maarufu sana katika sanaa ya hapa bongo, inaonekana we sio mpenzi wa hizi comedy comedy.
 
Niliwahi kusikia kuwa FUTUHI ni ile ngozi laini kwenye tundu ya kutolea haja kubwa, au nimekosea?

not true..

futuhi, kwa lugha ya kimagharibi ni comedy!

tasnia inayotumia mbinu ya kumfanya hadhira afurahie anachokiona au kukisikia!
 
Jamani... kumbe ni huyu, duh!
Kila nafsi itaonja mauti....RIP
 
Maskini dunia haina huruma kila siku inamezaa tu hata haishibi
 
not true..

futuhi, kwa lugha ya kimagharibi ni comedy!

tasnia inayotumia mbinu ya kumfanya hadhira afurahie anachokiona au kukisikia!

Hapo mpaka utoe notice kabisaaa subiri swali lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…