johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
wapumbavu wanaofungiwa kila kitu mpaka viongozi wao!!Kweli ni wapumbavu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wafuasi wa chadema ni wapumbavu sana!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
And the vice versa is true!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wafuasi wa chadema ni wapumbavu sana!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Katika wafuasi Wapumbavu namba moja duniani ni wafuasi wa CCM ,Chadema wanaweza wakawa wa mwisho,Wafuasi wa CCM ni nyumbu,Nyumbu hana msaada wowote kwa mwenzake akivamiwa na simba, anayebisha akamuulize Ndugai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wafuasi wa chadema ni wapumbavu sana!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
CHADEMAwaliomba maridhiano ya Kitaifa. ACT viongozi wao wameungana na CCM kuendelea kuwanyonya watanzaniaMwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema mzee Mandela alisema hakuna fursa nzuri ya kisiasa kama ile ya kukaa na mpinzani wako na kumueleza ukweli huku unamuangalia machoni.
Hivyo hao wanaopayuka kuwa ACT Wazalendo ni CCM B hawatusumbui kwani Chadema walipoomba maridhiano na hayati Magufuli walikuwa CCM B? ameuliza mzee Duni.
Source: ITV Dakika 45
Wao ni tawi la CCMMwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema mzee Mandela alisema hakuna fursa nzuri ya kisiasa kama ile ya kukaa na mpinzani wako na kumueleza ukweli huku unamuangalia machoni.
Hivyo hao wanaopayuka kuwa ACT Wazalendo ni CCM B hawatusumbui kwani Chadema walipoomba maridhiano na hayati Magufuli walikuwa CCM B? ameuliza mzee Duni.
Chanzo: ITV Dakika 45
Good pointCHADEMAwaliomba maridhiano ya Kitaifa. ACT viongozi wao wameungana na CCM kuendelea kuwanyonya watanzania
Wasaka vyeo haoKatika wafuasi Wapumbavu namba moja duniani ni wafuasi wa CCM ,Chadema wanaweza wakawa wa mwisho,Wafuasi wa CCM ni nyumbu,Nyumbu hana msaada wowote kwa mwenzake akivamiwa na simba, anayebisha akamuulize Ndugai.
Bashite unafurahisha embu kavue pampasi kwa vitotoo vichina vyako yaani ID kumi kujustify upopp wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wafuasi wa chadema ni wapumbavu sana!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Crimea NI mpumbavu namba moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wafuasi wa chadema ni wapumbavu sana!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hapa mjane tayari umeshapanic kweri-kweri 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wafuasi wa chadema ni wapumbavu sana!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwani mimi na wewe tumezaa vitoto vya kichina my wife?Bashite unafurahisha embu kavue pampasi kwa vitotoo vichina vyako yaani ID kumi kujustify upopp wako
Chadema ni Kama familia ya kambale. Hakuna tofauti ya baba Wala mama.
Babu Duni anatakiwa ajifunze kama maalim seif kukaa kimya,Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema mzee Mandela alisema hakuna fursa nzuri ya kisiasa kama ile ya kukaa na mpinzani wako na kumueleza ukweli huku unamuangalia machoni.
Hivyo hao wanaopayuka kuwa ACT Wazalendo ni CCM B hawatusumbui kwani Chadema walipoomba maridhiano na hayati Magufuli walikuwa CCM B? ameuliza mzee Duni.
Chanzo: ITV Dakika 45
Watu wanashindwa kujua kuwa mageuzi ni Process ndefu. Kuna wapinzani hawakumbuki kwamba huko Zanzibar walishamaliza mbinu zote za kistarabu kutaka kuleta mageuzi. Kama ni kufa watu wamekufa zaidi kuliko sehemu yoyote ya Tanzania hii. Kama ni migomo na kususia ndio usiseme. Kama ni kufungwa ndio wamefungwa zaidi, kama ni kubambikiziwa huko ndiko kuna chuo cha kubambikizia watu, kama ni unafiki wa watawala huko ndiko kuna chuo kikuu kabisa lakini hao wanaoponda ACT na iliyokuwa CUF kuingia SUK walitaka nini?Babu Duni anatakiwa ajifunze kama maalim seif kukaa kimya,
Chadema si wa kuwaongelea kwa kweli hawa jamaa kisiasa wako ovyo sana zaidi ya sana yaani wao na siasa wanakimbizana njia tofauti kabisa, Lissu aliwakataza wenzake wasiende kwenye mkutano wa upinzani na rais Samia mpaka Mbowe atakapoachiwa, haijapita hata wiki 3 Mbowe bado yupo jela yeye anakutana na Rais Samia Brussels tena kakutana naye kwa heshima zote.,
Mimi nimeenda mbali zaidi ya alipoenda babu duni Chadema sio tu CCM B, CHADEMA ndio ccm yenyewe, nikimtazama Lissu kwenye ile picha na rais samia walivyogongeana kiwiko cha mkono kikorona korona na nikiunganisha Samia alivyomfata Lissu nairobi kumuangalia alipopigwa risasi lakini zaidi Rais aliposema yeye na Lisu ni mtu na dadaake napata mashaka sana na Uchadema wa T.Lissu., Sioni sababu ya kwanini kina Halima Mdee kufukuzwa chadema Tundu Lissu akaendelea kuachwa kwa dakika moja zaidi.