Mzee Duni: Kwani CHADEMA ilipotaka maridhiano na hayati Magufuli ilikuwa CCM B? Kwanini ACT Wazalendo kuwemo katika SUK iwe nongwa?

nimeami majina yana mana kubwa sana huyu mzee ni duni tu kama ilivyo jina lake
 
ACT kuwepo huko SUK imekuwa nongwa kwasababu wanaonekana wote wanaburuzwa na mawazo ya mkuu wao ndio maana wajanja wameanza kuwakimbia chamani kwao.
Ukweli ni kwamba ACT ile aliyekuwepo Al Marhum Maalim Seif wa Pemba kuwepo huko SUK hakukuwa na Nongwa yoyote na ilikuwa sahihi,lakini hii ACT ya Bab Duni wa Unguja kuwepo huko SUK ni NONGWA tena kubwa saana.Muda utasema

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mzee duni bora anyamaze,tunamuheshimu sana
 

..Tatizo la CUF [ sasa hivi ni ACT ] ni kushindwa kutetea ushindi waliokuwa wakiupata ktk kila uchaguzi.

..Kila walipokuwa wakishinda Maalim Seif alikuwa akiitwa PEKE YAKE ktk vikao na CCM na baada ya hapo aliwaachia ushindi.

..Kutokana na viongozi wa CUF[ sasa ACT] kukosa msimamo wa kusimamia HAKI mpaka mwisho, ndio maana CCM wameweza kuongeza dozi ya ukatili ktk kila uchaguzi mkuu unaofanyika Znz.
 
Kumbe duni ndio mwenyekiti wa act?
 
Magufuli hakuwa CCM alikuwa ni Rais wa wa Tanzania bila kujali vyama vyao tofauti na CCM ambacho ni chama cha wenye chama kwa hiyo ni halal kuomba maridhiano na Rais wa nchi.
 
Magufuli hakuwa CCM alikuwa ni Rais wa wa Tanzania bila kujali vyama vyao tofauti na CCM ambacho ni chama cha wenye chama kwa hiyo ni halal kuomba maridhiano na Rais wa nchi.
Kwani SUK ni ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…