Huyu mzee Fumba Macho mzaliwa wa Mwanza Magu amelifimbua macho taifa ktk hotuba yake aliyoitoa kwenye jukwaa la Club House.
Mchungaji huyo amemtaja Prof Assad kuwa ni Mwislam mcha Mungu sana.
Pili amelitaja tatizo kubwa la ccm na tanzania ni mifumo mibovu ambayo imejaza watendaji wasio na uwezo.
Ametaja pia kuna makristo mengi na malozali yao na misalaba na Maislam mengi majizi na mala rushwa ndani ya utawala kwa miaka 60 sasa ya uhuru.
Mchungaji huyo anayeishi Texas Marekani ametanabaisha kuwa kutokana na uongozi unaokosa sifa tumejikuta Nchi yetu ikiwa maskini pamoja na kuwa na rasilimali nyingi.
Ukimsikiliza Mzee Funga Macho utapenda kumsikiliza kwa masaa mengi kutokana na Nasaha zakekwa Taifa na wananchi .
Amepigia mstari swala la amani, umoja na ustawi wa haki ktk taifa kama ngao ya kutuletea maendeleo Nchini.
Yeye kama advocate wa Haki amwmpongeza Rais Samia kwa kitendo chakecha kuwaachia Mashekhe wa uamusho na kuonesha kukerwa na kitendo cha Rais kuwambia mawaziri wale kwa urefu wa kamba zao.