Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Kwa maskitiko makubwa nimepokea taarifa ya kufariki kwa Mzee wetu Maarufu sana kwa Miji ya Moshi na Tanga miaka ya 1960es mpaka 1990es kwa biashara mbali mbali kilichotokea leo nyumbani kwake kwa kinachosadikika kuijua kwa kujipiga Risasi mchana huu. Mzee Gabriel Mandara alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya miguu ambayo ilipelekea kulazwa mara kwa mara na mara ya mwisho alilazwa KCMC mwezi uliopita. Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana Libarikiwe.