Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Tusimsingizie Mungu mambo ya kipumbavu.Kwa maskitiko makubwa nimepokea taarifa ya kufariki kwa Mzee wetu Maarufu sana kwa Miji ya Moshi na Tanga miaka ya 1960es mpaka 1990es kwa biashara mbali mbali kilichotokea leo nyumbani kwake kwa kinachosadikika kuijua kwa kujipiga Risasi mchana huu. Mzee Gabriel Mandara alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya miguu ambayo ilipelekea kulazwa mara kwa mara na mara ya mwisho alilazwa KCMC mwezi uliopita. Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana Libarikiwe.
babu mbona unazeeka vibaya,risasi haitwai hiyo ni sababu tu hata ukifa kwa kujipiga kidole kwa Mungu ndio njia yetu.Tusimsingizie Mungu mambo ya kipumbavu.
Huyu hajatwaliwa Na BWANA, ametwaliwa Na risasi.
Bwana alitoa, risasi imetwaa.
Huyu moja kwa moja anaenda shimo la tewa
Ukijibiwa ni-tag pleaseSorry,
Ni nani hasa huyu Mzee?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tusimsingizie Mungu mambo ya kipumbavu.
Huyu hajatwaliwa Na BWANA, ametwaliwa Na risasi.
Bwana alitoa, risasi imetwaa.
Huyu moja kwa moja anaenda shimo la tewa
Hhhhhhhh duhAlikuwa chama gani kabla sijatoa pole yangu
Wajipiga vipi kidole na wapi.babu mbona unazeeka vibaya,risasi haitwai hiyo ni sababu tu hata ukifa kwa kujipiga kidole kwa Mungu ndio njia yetu.
Hapa sijaona umuhimu wa kusema hivyo, maana jamaa kajidungua.Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana Libarikiwe.
Ni kweli kabisa.Tusimsingizie Mungu mambo ya kipumbavu.
Huyu hajatwaliwa Na BWANA, ametwaliwa Na risasi.
Bwana alitoa, risasi imetwaa.
Huyu moja kwa moja anaenda shimo la tewa
Huyu Mzee ni kama waliokuwa Marhum Sisco Mtiro-Dar, Chalamila-Iringa, Mzee Ndesa-Moshi, Mwanda-Arusha,Mzee Shinyanga-Mwanza namalizia na Mzee Karembu MbeyaSorry,
Ni nani hasa huyu Mzee?