TANZIA Mzee Gabriel Mandara afariki

Tusimsingizie Mungu mambo ya kipumbavu.
Huyu hajatwaliwa Na BWANA, ametwaliwa Na risasi.
Bwana alitoa, risasi imetwaa.
Huyu moja kwa moja anaenda shimo la tewa
Please Tumeandikiwa tusihukumu
 
Huyu Mzee ni kama waliokuwa Marhum Sisco Mtiro-Dar, Chalamila-Iringa, Mzee Ndesa-Moshi, Mwanda-Arusha,Mzee Shinyanga-Mwanza namalizia na Mzee Karembu Mbeya

pls tag waliouliza
Huyu Karembu wa Mbeya ni Mkikuyu mhamiaji,Mbeya kuna Wakikuyu wengi
 
Huyu Mzee ni kama waliokuwa Marhum Sisco Mtiro-Dar, Chalamila-Iringa, Mzee Ndesa-Moshi, Mwanda-Arusha,Mzee Shinyanga-Mwanza namalizia na Mzee Karembu Mbeya

pls tag waliouliza

Angekuwa wa viwango Hivyo hata mie ningemjua Au ndio alikuwa na Newcastle Hotel???
 
Nawapa Pole nyingi watu WA kwa mandara. Tuko pamoja. Mungu awatie nguvu wakati huu mgumu
 
Huyu Mzee ni kama waliokuwa Marhum Sisco Mtiro-Dar, Chalamila-Iringa, Mzee Ndesa-Moshi, Mwanda-Arusha,Mzee Shinyanga-Mwanza namalizia na Mzee Karembu Mbeya

pls tag waliouliza
Mkuu hilo jina sijawahi lisikia jambo niko kanda hiyo,alikua anaishi moshi mjini
 
Reactions: Mj1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…