TANZIA Mzee Gabriel Mandara afariki

Ni mmoja wa wazee wa Kichagga walio wekeza Tanga kwa miaka mingi, mwingine ni Marupa.
Hivi mzee marupa yupo jamani?
Duh siku nyingi sana sijamsikia huyu mtu!
Asante na kunikumbusha mbali!
Reginald, Grace, Charles watoto wake!
 
Hivi mzee marupa yupo jamani?
Duh siku nyingi sana sijamsikia huyu mtu!
Asante na kunikumbusha mbali!
Reginald, Grace, Charles watoto wake!
 
Hivi mzee marupa yupo jamani?
Duh siku nyingi sana sijamsikia huyu mtu!
Asante na kunikumbusha mbali!
Reginald, Grace, Charles watoto wake!
Umemsahau Bonny Marupa RIP
 
Tusimsingizie Mungu mambo ya kipumbavu.
Huyu hajatwaliwa Na BWANA, ametwaliwa Na risasi.
Bwana alitoa, risasi imetwaa.
Huyu moja kwa moja anaenda shimo la tewa
Iauma sana........ Amevumilia for all the 84 years.....why leo? (Noone knows). Ulale Vema Mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…