Mzee Hamis Kilomoni kwisha kabisa, Jeshi la Polisi lammaliza kwa kumpa masharti ambayo hata iweje hatoyaweza!

huyo mzee waliokuwa wanamshabikia ni wanayanga

Na ndiyo wamemponza kwani kinachoenda Kumpata very soon hata hao wana Yanga wanaompa Kiburi hiki na Jeuri hii leo watamkimbia na kumuacha peke yake. Ukweli ni kwamba tayari Serikali kupitia Wizara husika ( Waziri Mwakyembe ) imeshajua kuwa imewatibua wana Simba SC kwa yale Maamuzi yake ya Hisa za Kiuwekezaji ( wakimlenga Kipenzi chetu Mo Dewji ) na sasa wana Simba SC wamekuwa na Chuki na Serikali kiasi kwamba kuna Mpango ulikuwepo kwa wana Simba SC wote leo kutokwenda Uwanja wa Taifa Kuishangilia Timu ya Taifa na hata kama wangeenda basi wangeishangilia Timu ya Kenya na pia wana Simba SC walikuwa wameshaanza Kujipanga Kutoishabikia Serikali ya CCM hali ambayo kwa Kupima Serikali ikagundua kuwa yenyewe ndiyo itaathirika kwakuwa Tanzania nzima ni Simba na Yanga hivyo basi Serikali Kiujanja imeamua Kujikosha kwa wana Simba SC kwa Kuamua Kumbana huyu Mzee Kilomoni ili ionekane kuwa inaipambania Simba SC na iko nao sambamba katika Mipango yao ya Kiuwekezaji chini ya Mo Dewji huku pia ikimnusuru Waziri husika ( Mwakyembe ) ambaye kama isingekuwa ile Taarifa ya Mwekezaji Mo Dewji aliyoitoa jana basi Waziri Mwakyembe Siku ya Simba Day ndiyo angetujua ( angewajua ) vyema wana Simba SC na angeweza hata Kupoteza huo Uwaziri wake na Kujuta. Kwa Tanzania hii Simba na Yanga ni zaidi ya CCM na CHADEMA!
 
Huyu mzee njaa anatumika tu kutaka kuivuruga simba

Ova

Kilichoandaliwa Kwake nina uhakika hata hao ambao wanamtuma na kumjaza huo Ujinga watamkimbia na Kumuacha akiteseka peke yake.
 
Aisee kuna njia nyingi za kupelek taarifa si lazima aite waandishi wa habari ujue..so usichekelee sana.

Kama ungekuwa tu na Akili kubwa, nyingi na pana ungejua tu ya kwamba kwa Masharti hayo huyu Mzee kuna Mtego mkubwa na kabambe ameshategwa hapo na alivyo Mbumbumbu anaenda Kuuvagaa na hapo ndipo atajua kuwa Simba SC ina yenyewe tena wenye Mamlaka makubwa tu Kikatiba na nchi yetu hii.
 
Mzee kilomoni nguvu moja

Mzee shujaa, kamtikisa bilionea

Mjambisheni ( mpeni Kiburi tu ) ili mumponze vizuri. Na nawaombeni wale nyote ambao mnamuunga mkono huyu Mzee kitakochoenda kumpata Kikimtokea basi msimkimbie bali endeleeni kuwa nae na ikiwezekana mumsaidie pia kwani hatoamini kwamba kinaenda Kumtokea.
 
Hakuna sheria inayolazimisha mtu kuongea na wanahabari lazima awe na kibari. Polisi watamshtaki kwa sheria ipi huyo mzee?! Ama kweli Rage aliposema wanachama wa hiyo club ni mbumbumbu hakukosea kabisa

Sasa mbona kwa Maelezo yako haya Wewe ndiyo unaonekana si tu Mbumbumbu bali pia ni Mpumbavu Mwandamizi?
 
Kilomoni nguvu moja
 
Mitandao Ya Kijamii Ipo, Akaachie Clip Huko Watu Wajikanganye Mambo Yaishe
 
Kuna Nkwabi mwingine anaitwa Fikirini ni nani nani katika club ya simba? Mwenye historia na cheo chake ndani ya simba tafadhari.

Je Nkwabi na mzee Kilomoni ni ndugu?
 
Mitandao Ya Kijamii Ipo, Akaachie Clip Huko Watu Wajikanganye Mambo Yaishe

Kwani hii Mitandao ya Kijamii haiko chini ya Serikali kupitia Jeshi la Polisi na TCRA? Kuna Watu ni Wapumbavu hapa Mtandaoni hadi mnakera.
 
Kuna Nkwabi mwingine anaitwa Fikirini ni nani nani katika club ya simba? Mwenye historia na cheo chake ndani ya simba tafadhari.

Je Nkwabi na mzee Kilomoni ni ndugu?

Ulipomaliza Kuandika hii post yako ulichukua muda wako kidogo angalau hata Kuipitia tu na Ukajiridhisha nayo kabla ya Kuamua kuituma ili Great Thinkers wa hapa JF tuione kama hivi?
 
mzee atulie, maana hata ccm kwenyewe jpm kaanza kunyoosha ule ubabe wa wazee, na ndio simba hatutaki hiyo michezo ya wazee kutuharibia mpira, hawana hela kazi kupiga domo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…