Mzee Hamis Kilomoni kwisha kabisa, Jeshi la Polisi lammaliza kwa kumpa masharti ambayo hata iweje hatoyaweza!

daah afadhali bwana yan kale kazee kalikuwa kana nikera kama nn
 
Yanga wanamshabikia kilomoni kwa sababu siku ya tamasha lao la kubwa kuliko kilomoni aliahidi kuchangia laki moja,sasa kuna uwezekano huyu mzee hajatimiza ahadi,kwa hiyo yanga wako ktk kubembeleza ili atoe hiyo pesa manake kwao imekuwa si hali.
 
Mtamkumbuka huyu mzee siku moja...na haiko mbali mtataka kuzinasua 49% shares itakua too late
 
Sasa mbona kwa Maelezo yako haya Wewe ndiyo unaonekana si tu Mbumbumbu bali pia ni Mpumbavu Mwandamizi?
Kwa comment yako ni dhahiri wewe ni K, kama sio K basi ni yule jiran yake na K
 
Mzee Kilomoni kasema kesho anaongea na waandishi wa habari kwake - (kashapata kibali polisi),
Source: Radio Abood fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…