Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Mzee Hamis Kilomoni na Siku zingine ujue kwamba nchi hii ni zaidi ya Wewe pamoja na hao Wanaokutuma au Kukutumia. Wenye Akili walikushauri sana kuwa tulia ili uheshimike zaidi lakini ukawadharau hatimaye sasa Maamuzi mapya yaliyotoka yamekumaliza na itakulazimu uwe mpole tu huku Simba SC ikiendelea Kufanya mambo makubwa ya Kimaendeleo chini ya Kipenzi chetu Mwekezaji Mo Dewji.
Taarifa zilizonifikia na ambazo hata hivyo bado naendelea Kuzithibitisha zinasema ya kwamba Jeshi la Polisi nchini Tanzania limempa Masharti Mzee Hamisi Kilomoni ili ayatekeleze ndipo wampe Kibali cha Yeye Kufanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari Jumatano ijayo ya tarehe 31 July 2019 katika kile alichokiita huo ni Msumari wa Moto.
Masharti yenyewe ni haya Mawili tu kama yafuatayo ambayo ametakiwa Kuyatekeleza na kama akienda Kinyume nayo na akafanya Mkutano wake huo basi Kitakachomkuta Siku hiyo na Kisheria asije Kumlaumu Mtu kwani hii nchi inaendeshwa na Sheria na taratibu zake....
1. Awe na Barua latest ( ya sasa ) kutoka RITA inayoonyesha kuwa Yeye ni Mdhamini wa Klabu ya Simba SC. ( ikumbukwe kuwa tayari RITA imeshasema kuwa haimtambui Mzee Hamis Kilomoni kama Mdhamini wa Simba SC na ilishatoa Msimamo wake na hadi Kutangaza Majina ya Wadhamini ambapo Mzee Kilomoni hayumo )
2. Aombe Kibali kutoka Bodi ya Klabu ya Simba SC ( iliyo chini ya Mwekezaji Mo Dewji na Mwenyekiti wa Klabu Swedi Nkwabi ) ndipo aweze Kufanya huo Mkutano wake na Waandishi wa Habari. ( ikumbukwe kuwa Ugomvi wa Mzee Hamis Kilomoni ni dhidi ya hawa Watu muhimu Wawili wenye dhamana ya Uwekezaji na Uongozi ndani ya Simba SC hivyo sidhani kama na Wao watakuwa Wapumbavu kiasi hicho na waweze kumpa Kibali huyu Mzee ili akawaseme, akawakashifu, akawachafue na hadi akawadhihaki mbele ya Vyombo vya Habari )
Ama hakika hili ni Pigo Kubwa sana kwa Mzee Kilomoni na ndiyo sasa atajua kuwa Tanzania na ndani ya Simba SC kuna Watu wana Akili zilizoshindikana na wanajua kile wanachokifanya na kwamba walikuwa wanamuangalia tu huku wakijua kuwa ni wapi watambana na atashindwa tu hadi Kudharaulika na kuonekana Mpuuzi na kweli Kimetimia.
This is Simba SC
Akhsanteni mno Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Mkoa wa Dar es Salaam ( Kanda Maalum )
Poleni sana wale Wote mliokuwa mkimjaza Ujinga na Upumbavu Mzee Hamis Kilomoni.
Mnae huyo!Huyu mzee njaa anatumika tu kutaka kuivuruga simba
Ova
Kilomoni atakuwa shujaa asiyependwaHiko Siku Mafuta Na Maji Yatajitenga.
Kwa comment yako ni dhahiri wewe ni K, kama sio K basi ni yule jiran yake na KSasa mbona kwa Maelezo yako haya Wewe ndiyo unaonekana si tu Mbumbumbu bali pia ni Mpumbavu Mwandamizi?
KilomoniMzee wa watu alionewa bure
Tena sio bil 20 kama kinachotajwa na MoMzee wa watu alionewa bure
Kwamba kiasi ni kdg au kikubwaTena sio bil 20 kama kinachotajwa na Mo
MO ni tapeli kama CCMTena sio bil 20 kama kinachotajwa na Mo
11blKwamba kiasi ni kdg au kikubwa
Wadaawa FCCHuyu dingi mwanga tuView attachment 1174585
Duh11bl
Hahahaha ,halafu naomba kuuliza11bl