Mzee Hamisi uzalendo wamshinda.....

Medecin

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
8,221
Reaction score
22,496
hapa mtaani kwetu kuna jamaa alikuwa na tabia akifanya mapenzi na mkewe raha ikimkolea anapiga kelele mpaka majirani wanasikia. Siku moja jirani yake aitwaye Mzee Hamisi akamfuata jamaa akamwambia,''hivyo unavyofanya sio vizuri,ni makosa na ni aibu sana watu wote wanajua unafanya nini na mkeo"

Jamaa akajitahidi siku mbili hakupiga kelele kabisa

Siku ya tatu jamaa akashindwa kuvumilia kwa raha ilivyomkolea akaanza kupiga kelele
,"mzee Hamisi aaasshhh,nisamehe namaliza sasa hivi aaaaaaahh!!!!!!!"

Mzee Hamisi kusikia hivyo akafungua dirisha akamwamia jamaa,"kijana piga kelele uwezavyo lakini usintaje jina langu watu watajua wanifira mimi shwaini wee"
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

nawatakia siku njema!
 
kwa hiyo mzee akaamua kumharibia jamaa kwa Mke wake kwa kujidhalilisha utu wake kuwa yy huwa anafirwa! sasa hiyo akili au matope
 
kwa hiyo mzee akaamua kumharibia jamaa kwa Mke wake kwa kujidhalilisha utu wake kuwa yy huwa anafirwa! sasa hiyo akili au matope
mzee alijua watu wengine watahisi anafanywa yeye
 
mzee hamisi anatokea wapi? mbona lafudhi hyo
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…