Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
hapa mtaani kwetu kuna jamaa alikuwa na tabia akifanya mapenzi na mkewe raha ikimkolea anapiga kelele mpaka majirani wanasikia. Siku moja jirani yake aitwaye Mzee Hamisi akamfuata jamaa akamwambia,''hivyo unavyofanya sio vizuri,ni makosa na ni aibu sana watu wote wanajua unafanya nini na mkeo"
Jamaa akajitahidi siku mbili hakupiga kelele kabisa
Siku ya tatu jamaa akashindwa kuvumilia kwa raha ilivyomkolea akaanza kupiga kelele
,"mzee Hamisi aaasshhh,nisamehe namaliza sasa hivi aaaaaaahh!!!!!!!"
Mzee Hamisi kusikia hivyo akafungua dirisha akamwamia jamaa,"kijana piga kelele uwezavyo lakini usintaje jina langu watu watajua wanifira mimi shwaini wee"
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
nawatakia siku njema!