Mzee Ibrahim Kaduma amefariki

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Habari zinasambaa mtandaoni kuwa Mzee Ibrahim Kaduma amefsriki huko India alikokwenda kwa matibabu.
Mzee Kaduma alikuwa a staunch supporter wa Mwalimu Nyerere.

Mimi nimemfahamu alipokuwa Vice Chsncellor wa UDSM.
Baadaye akawa Foreign Minister akiendeleza Liberation Policy ya miaka hiyo.

Hivi miaka ya karibuni alizamia katika dini na imani ya Neno la Mungu kupitia KKKT.

Rest in peace Mzee Ibrahim Kaduma.
 
Pole sana kwa wana familia wake
Mungu ampe pumziko la milele Amina
 
Wazalendo wanaondoka hakika ni pengo

Vijana wa leo wanampigania mkolon kuliko nchi yao

Rip mzalendo
 
Huyo Mzee si alikua Mkuu wa Chuo cha Mzumbe? Apumzike kwa amani, amelitendea taifa haki kwa utumishi uliotukuka, Mungu awape wepesi familia yake kwa kuondokewa na mpendwa wao
 
ALIKUWA CHAMA GANI?
Ibrahim Mohamed KADUMAEdit Profile

economist and politician

Ibrahim KADUMA, Tanzanian economist and politician.

Background

KADUMA, Ibrahim was born in 1937 in Mtwango Njombe, Iringa Region. Son of the late Mohamed Maleva Kaduma and of Mwanaidza Kaduma.

Education

Makerere University College Uganda, and Unn of York, United Kingdom.

Career

Assistant 1961, V*st. Accountant 1962-1965, Economist 1965-1966, Director of External Finance and Technical Company-operation 1967-1969, Deputy Secretary Treasury 1969-1970. Principal Secretary Ministry of Communications, Transport and Labour, 1970-1972, Treasury 1972-1973.\r\nDirector Institute of Development Studies, University of Dar es Salaam 1973-1975^ Centre on Integrated Rural Development for Africa since 1982.

Minister for Foreign Affairs 1975-1977, of Trade 1980-1981, of Communications and Transport 1981-1982. Vice-Chancellor University of Dar es Salaam 1977-1980.\r\nManager Director Tanzania Sisal Authority since 1985. Arts Research.
 
Hivyo vyeo vyake ungeviweka kwa kiswahili na sisi wa Tanda himba tutaelewa nini?
 
Daah! Nitaikumbuka sauti yake nzito pale Mzumbe University yenye neno moja tu: 'Ninakutunuku' ikifuatiwa na vigele gele na matarumbeta.
Pia ntamkumbuka kwa kitabu chake alichowaandikia vijana ambacho nilikisoma chote. Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi mzee wetu.
 
Lipeni madeni ya watu, mbona nyie mnadai watu kodi kwa mtutu?
Kwa ushahidi wa unachosema ni kule Itigi.
Wakamtupukula na kumuua mlipakodi aliyekuwa akifanya ibada kanisani!!
 
RIP wakati wake umetimia ipo siku yetu yaja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…