Leo namsalimi Mzee Kikwete baba wa Democrasia alie kubali yote ukimuona dhaifu poa ukimuona fisadi poa Yani mambo poa.
Ukimsema jukwaani anatafuta jukwaa na yeye anakuwa za usoš¤
Leo namuuliza Mzee wangu mambo vipi? Kama nakuona kila ukiangalia taarifa ya Habari na mitandao unaona kama huwelewi hivi nakuingia vyumba vya ibada na kusali.
Mzee Kikwete wema wamekufa na wachache mlio Baki kazi mnayo Kuna siku mtasema na sisi tungetangulia kuliko kuona Yale mtayaona ila bado muda mnao nawaona wakuu wamajeshi wa staafu, nawaona wakuu wa idara nyeti na Mawaziri wakuu wastaafu ambao mkikaa na kushirikiana mtaliokoa hili Taifa.
Unaweza sema wewe kijana mdogo una nishauri Nini mm nasema ewala Mzee wangu ila game ya utawala wa Taifa hili msipo fumua hii katiba basi kizazi kijacho kazi ipo. Mwalimu akaja nakitabu kinasema Tujisahihishe. Mwisho wakunukuu.
Mzee wangu huku kwenye chungu anayejuwa siri yake ni kata ila hata hiyo Kata uwenda ikayeyuka kwa moto unawaka kwenye chungu sijuwi mtachota na nn haya maji. Happy new year Sir.