Mzee Jakaya Kikwete, rudisha hilo hekalu Serikalini lipigwe mnada pesa zisaidie wananchi

Umasikini wa taifa ili mojawapo ninkukosa elimu... Iyo pesa ya ilo hekalu hatolisaidia wananchi... Elimu
Elimu
Elimu
Elimu
Elimu,
 
Ana nyumba nyingine Msasani karibu na GSM wa Yanga
 
Je, rais ni mwajiriwa wa serikali, kwa marupurupu ni makubwa kiasi hicho.
Ni kitu gani anakikosa ambacho hakujilimbikizia.
Asilimia mia marais huwa ni wafanya biashara kwa kuwa na pesa za kutosha.
Je, hao waliopendekeza na waliokubali sio wahujumu uchumi?
 
Kweli aiseee, mambo haya watz wenyewe ndo wa wakujilaumu wenyewe ,kwani katiba yenyewe iliyopo ndo inaruhusu haya, na wabunge wenu kuendelea kushangilia na kutohoji mambo haya,kwa vile nao kwa njia moja au nyingine ni wanufaika wa sheria, mifumo na katiba hii mbovu iliyopo, inayoendelea kuwaongezea walionacho, na kuzidi kuwakamua wale wa kipato cha chini..... wananchi wenyewe ndo mjilaumu kwa kuendelea kufagilia mapungufu hayo na si mtu mwingine..... .. hivyo kumshambulia mstaafu Kikwete kuhusu nyumba alojengewa ni kumwonea tu,manake hizo ni moja ya stahiki zake kisheria zilizoainishwa kikatiba, unless bunge lenu lizibadili , ambavyo kwa bunge lenyewe la sasa lilivyo...?.. sioni wa kufanya hilo....
Nendeni mkabadili kwanza kifungu cha Sheria ya mafao ya viongozi wa Taifa ndipo utekeleze unachotaka. Otherwise walaumu wabunge wenu ambao wanapitisha Sheria mbaya kama hizi
 
Ana nyumba nyingine Msasani karibu na GSM wa Yanga
Ndio hiyo anayotuzuga eti amepanga!!! Huyu bwana ni fisadi papa na sasa ndio proxy President basi nchi itafisadiwa sana!!! Huyu bwana hafai hata kwa senti hamsini!!!
 
Marais na wake zao ilipaswa watunzwe mpaka mwisho wa maisha yao. Kimbembe kama Rais ana wake 7
 
Hii katiba ya wahuni wa maccm wanaiyobadilisha kila leo kama wanufaika million wao? Sasa ngoja wakisikia kuhusu madai ya Katiba mpya ambapo wanajua fika wanufaika ni wapiga kura wa Tanzania na hivyo hawataweza tena kuiba kura kupitia wale axis of evil AKA Tume Fake ya uchaguzi.

Katiba ndivyo inavyoelekeza...
 
Hiyo nyumba haizidi gharama ya lisanamu ambalo halina faida. Acheni JK afaidi
 
Ulitaka wamzawadie Nyumba ya tembe? Acha ushamba na wewe hiyo nayo ni kasri? Tatizo umechelewa kuja mjini!!
 
Walala Hoi Wanamiliki Smart Phone? Acha ungesele Mkuu
 
Acha hoja za kishetani,acha chuki dhidi ya jk,usidhani kuwa wewe humpendi badi wote hawampendi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mawazo mgando hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…