Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Alifuata sheria. JPM hakutaka lawamaSi Magufuli ndio alimjengea
Nasikia Kuna sheria inaruhusu basi tuifuteWote ni Wanyonyaji tu. Hivi Magufuli hakujiuliza kwa nini we zake hawakujengeana mpaka yeye akaamua kuwajengea wote.... Tatizo lilikuwa wapi?
Kikwete anadai ni haki yake, mbona sasa yeye hakumjengea Mkapa na Mwinyi mpaka wakasubiri Magufuli awajengee...!!
Kwa maoni yangu binafsi, huu ni muendelezo wa kujirundikia mali na matumizi mbaya ya pesa za wananchiy
Unafiki kutimiza sheria iliyokuwapo,walaumiwe waliotengeneza sheria na sio watekelezajiSheria ilikuwepo lakini marais wote waliona Haya kuitekeleza,akaja Jiwe mwenye PhD ya unafiki akawajengea wote Kwa mpigo.Lawama ni Kwa Jiwe sio JK
Hii ndio suluhisho,Tatizo lilianza kwenye sheria yenyeweNasikia Kuna sheria inaruhusu basi tuifute
Sheria ngapi alizivunja wazi wazi zenye maslahi Kwa umma,hiyo ya hovyo ndio akaona atekeleze?huo ndio unafiki wake, anajifanya Kiongozi wa wanyonge Kumbe anawanyonga ili marajiri wapate mahekalu zaidiUnafiki kutimiza sheria iliyokuwapo,walaumiwe waliotengeneza sheria na sio watekelezaji
Hiyo nyumba hata isingejengwa.Unajielewa kweli!??? Priority iko wapi!??? Hizo fedha kwa nini hazikamilishi miradi iliyosimama kwa muda mrefu!??? Mishahara na maboresho ya wafanyakazi!??? Miundombinu!??? Kwani sasa hivi the so-called wageni mbalimbali wa Kimataifa wanapokelewa gereji!??? So, JKN aliyefariki before hajapewa kasri yake hakuwahi kuwapokea hao wageni!??? Hivi huna umaskini wa kufikiri kweli wewe!???
yaani hawa jamaa wajitungie sheria ya kutunyonya, ili kujustify unyonyaji wao, kisha eti tugwaye, tupige kimya pindi wakitunyonya kisa sheria hiyo feki?Hii ndio suluhisho,Tatizo lilianza kwenye sheria yenyewe
Hiyo nyumba hata isingejengwa.
Bado wewe na ukoo wako mngeendelea kubaki masikini.
Huo uchafu ndio mwaita flyover?,madaraja haahaa poleni mdanganye makenge wenzenu ambao wamezinda ndani Tu hawajawahi toka njeAlikuwa anasubiri nchi ifikie uchumi wa kati, wakati ambapo maisha ya watanzania yatakuwa bora kama yalivyo sasa. Siku hizi kuna ma-flyover, madaraja yanakatisha bahari na maziwa, SGR, madege n.k.!
wewe una tatizo kichwani hiyo nyumba si imejengwa na magufuli au unajichomoa akili, sisi watanzania sijui tunataka nini yaani kila kitu tunalalamika ni race ya ajabu sana kwa kweli..The problem tuu ni kwamba wanafanya mchana kweupe bila haya wala woga, they know hamwezi kufanya lolote. Mfano mechi ya jana. Ingekuwa JPM lazima papohapo angepiga simu laivu uwanjani, na mechi ingechezwa saa kumi na moja kama ilivyopangwa. Huu ni ushamba na ulemavu wa akili uliokithiri.