Mzee Ji Kaifeng mwenye umri wa miaka 76 ni shabiki wa kuteleza kwenye barafu, ambaye ameshiriki kwenye michezo hiyo kwa miaka 22

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing 2022 inaendelea, na China imetimiza lengo lake la kuwahamasisha wananchi milioni 300 kushiriki kwenye michezo ya majira ya baridi.

Mzee Ji Kaifeng mwenye umri wa miaka 76 ni shabiki wa kuteleza kwenye barafu, ambaye ameshiriki kwenye michezo hiyo kwa miaka 22.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…