Mzee Juma Duni Haji, wanaotaka Mbowe asote gerezani ni Washirika wa Chama Chako

Hawa ACT Hawana sababu ya kudai Tume huru kabla ya katiba mpya, kwa SABABU kwa mujibu wa katiba hii ya sasa Time hii ni huru kabisa kwenye makaratasi.Ndo maana wananchi na vyama vya upinzani waliotoa maoni kuwa na katiba mpya itakayounda taasisi huru
 
Unajiumauma, unaandika huku unaogopa. Funguka mama, huu ndio wakati wa kusema kweli.
 
Simuamini huyo mzee na hayo maneno yake, simply ameyatoa kwa sababu amebanwa kwenye "ndoa" na bwana zao, akikosea lazima aambiwe ukweli.
Amesema atafanya hivyo bila kujali kama atatukanwa au lah.

Amesema pia "Serikali haijawahi kukiri kukosea"
Mwisho wa kunukuu.

Kwa sisi tulio huru binafsi nimemuelewa si lazima tufanane mitazamo.
 
Amesema atafanya hivyo bila kujali kama atatukanwa au lah.

Amesema pia "Serikali haijawahi kukiri kukosea"
Mwisho wa kunukuu.

Kwa sisi tulio huru binafsi nimemuelewa si lazima tufanane mitazamo.
Hiyo nukuu yake kuhusu serikali nayo ni ya kulaaniwa, inawafanya watawala wazidi kujiona miungu watu.
 
Hivi kumbe Mbowe anakaa mahabusu kwa sababu ya watu walioko ulaya? Kwa hiyo Serikali imepewa shinikizo na watu wa Ulaya wamweke Mbowe Mahabusu? Tunashukuru Duni Haji kutujuza, ila isije ikawa ni akili Duni
 
Huyu Mzee Haji babu Duni juma aheshimiwe, some times uzee unamambo mengi

Binafsi namuheshimu sana
 
Amesema atafanya hivyo bila kujali kama atatukanwa au lah.

Amesema pia "Serikali haijawahi kukiri kukosea"
Mwisho wa kunukuu.

Kwa sisi tulio huru binafsi nimemuelewa si lazima tufanane mitazamo.
Mkuu Babu Duni ni kweli kwamba ana uzoefu mkubwa sana kwenye siasa , Lakini si kweli kwamba anajua kila kitu , na labda nikuhakikishie kwamba Mbowe hatoomba radhi hadi anakufa , familia yake imejiandaa kwa hilo .

Hata Hichilema alifanyiwa hayahaya , ni wapi alipoomba radhi ?
 
Mama muachie Mbowe maisha yaende ulidanganywa, wachaga hatudanganyiki kwa kujikosea kwenye machief wasiotambulika kutafuta huruma ya wachaga. Hio mikoa mingine Hakuna machief hadi uje uchagani.
umeanza kuhusu kumuongelea mheshimiwa mbowe ila umeharibu ulipoanza kusema nyie wachaga...upumbavu huu unachafua taswira ya chama flani mkuu
 
Heshima ni kitu cha bure.
Mwenye kiti akiri tu alivunya heshima then aanzekuona tena jua likizama.

Aachane na wala baga.
 
Kwa nini ACT wanapigia chapuo sana Mbowe aombe msamaha au asamehewe?! Ipi sababu inayowafanya wawe mbele kwenye suala la msamaha kuliko hata CHADEMA ambayo Mbowe ni mwenyekiti wake?!
 
Kwa nini ACT wanapigia chapuo sana Mbowe aombe msamaha au asamehewe?! Ipi sababu inayowafanya wawe mbele kwenye suala la msamaha kuliko hata CHADEMA ambayo Mbowe ni mwenyekiti wake?!
kuna mchezo fulani mdogo sana wanacheza , ila wiki hii haitaisha kabla sijawalipulia mbali , Subiri !
 
hivi kumbe huyo hamnazo ni mwanamke, asalaleee
 
Act wanapewa kwa siri fungi la mil 375 kwamwezi kea kaxi maalum

Akiwasema au kuwakemea si watakata huduma
 
Mbowe ni kafara ya nchi. Mandela alikuwa jela kwa miaka 27. Sembuse miezi kadhaa ya Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…