Mmoja wa Wasanii maarufu ambaye pia ni Mwanahabari mkongwe, Barnabas Maro maarufu kama Mzee Kambaulaya au Baba Bishanga amefariki dunia
Mzee Kambaulaya amefariki Januari 4 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu
#JamiiForums