Ndio nilichosema, kwani napi ana nini cha maana hadi kuwa katika top levels za maamuzi ya nchi zaidi ya kuwa baba yake yupo kwenye network? Watu wanatambulishana baba yake nilifanya naye kazi, nilisoma naye, nilikuwa naye JKT, au JWTZ tukiwa maafisa wadogo, ninasali naye, alinipokea wkt naanza kazi, alinipa nyumba ya kupanga bure, alikuwa ananipa lift wakati naanza maisho so nampambania mwanae. Kumbuka huyuhuyu Jk alisema Manji alikabidhiwa na baba yake na anapokuja US anafikia kwa baba yake, so ujue ukwasi wa manji ulioteketezwa na jiwe pia ulitokana na network then yeye na makamba wakasema baba yake napi alimkabidhi yeye na makambaz. So its ethnic network inafanya kazi kula mafao ya nchi. Wewe na maarifa yako kaanzishe shamba au genge la mbogamboga kule, wafanya maamuzi ni wenye surname za mongela, kikwete, mkapa, msuya, natepe, marwa, mboma, pinda, msekwa nk, pia maofisini kote uliza wakurugenzi na wakubwa wote ni nani ndo utajua