Mzee Kikwete: CCM ya sasa ukimtambulisha kiongozi wa Upinzani anaonekana Adui, nilimpigia kampeni Dr Ndugulile WHO, Ummy naye alifanya Kazi Kubwa!

Kikwete ni MZALENDO na muungwana sana.....basi tu.....yahitaji UFAHAMU,,,,,,,,,,
 
Ethnic networks, ukiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa. Watoto wa kapuku's watasota sana aisee! That's the fact
Na makapuku ubinafsi ndo tatizo, kama kuna aliefanikiwa kwenye familia basi atataka nyote mfate matakwa yake na sio kutimiza ndoto zenu.
 
Moyo wangu umelilia ndani Kwa kauli yako mkuu
 
Sisiem na Interahamwe wana tofauti gani!
 
Sisiem na Interahamwe wana tofauti gani!
Muda na namna wanavyotekeleza majukumu Yao. Lakini pia maeneo wanayopatikana ni nchi mbili tofauti.
Kiuhalisia wanafanana katika malengo Yao. Kumwaga damu kwa sababu ya madaraka kwao ni jambo la kawaida
 
"CCM ya Sasa" yaani hats ye anashangaa hii ya Sasa !!!

Au anamaanisha yeye ni pamoja na wale wazee wasiosikilizwa ndani ya chama hadi nchi haitulii Kila siku tekateka plus sarakasi kibao!!

Hivi wewe unamuamini Kikwete ...!!?
 

Kikulacho.....uzuri wazee wa kupindua meza
 
Na chura kaurithi ukatili na utekaji
Si unajuwa mwanamke ukimpa mbili ana multiply, 2 x 2 = 4. Kwa hiyo Samia ame multiply tabia mbovu zote za Magufuli, sijui kwanini anashindwa kuiga na strengths za Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…