Mzee Kikwete leo Mbagala umenena vyema kuwa miradi mingi ya awamu hii uliiasisi wewe japo wa gesi ya Mtwara hujauongelea

Whatever the case, I no longer need any *****n discussion with a punk slut as you are. So stop quoting me and mind your own business.
Mkuu mbona uko na Gubu sana,haipendezi mazee mtoto wa kiume kuwa na gubu kwa level hzo.
 
Tutamkumbuka Kikwete kwasababu tumegundua UTU ni Bora kulikoMALI.

Ni Bora uwe na Rias Fisadi ila mwenye UTU.

Sasa hivi watu wanapigania tena UHURU wao, HAKI, Furaha na UHAI.

Mali zitakuja baadaye.
Ni kichaa tuu anayeweza kubariki ufisadi.Hata hivyo Maendeleo yataletwa na kundi la wachache na wenye uzalendo madhubuti,Tulia Nchi tuijenge kwanza hayo ya ufisadi sio kipaumbele kwa sasa
 
Mkuu mbona uko na Gubu sana,haipendezi mazee mtoto wa kiume kuwa na gubu kwa level hzo.
Gubu unalo wewe kwa kudakia hoja usizojua msingi wake ni upi, Kisha unataka nijadili kama utakavyo wewe.
 
You are right for sure. Time will tell, Haiwezekani serikali iliyosafi iweke bunge gizani, ilisema mikataba ya madini ingesainiwa hadharani haijawa hivyo, ununuzi wa miradi mikubwa inafanywa kwa VOTE isiyokaguliwa ili kama kuna ufisadi usijulikane, vyombo vya habari za kichunguzi vyote vimefungiwa, maana yake ni nini?
 
Hamkosoi,mnajararibu kukwamisha,wakati mwingine kinawafaa hicho cha mtemakuni!
Kama ndivyo basi serikali yenu Ni dhaifu ambayo Inaweza kukwamishwa tu na maneno ya wapinzani!
Ukitaka kufahamu udhaifu wa mtu angalia reactions zake hasa pale unapomkosoa atapoteza confidence na kukuchukia balaa
 
Ni ufisadi tu brother,nothing more-Media zilizo huru hazijawahi pendwa na wapenda ufisadi
 
Mkuu watu wana chuki binafsi na Magufuli...sio CCM bali ni Magufuli.

Umeongea vyema kabisa. Hii ndio hali halisi, unajua why?
Magu wakati akifanya kampeni 2015 alituaminisha tumchague yeye kama yeye na sio yeye kama ccm kwa maana ccm iliwaghadhabisha wananchi.
Akaaminiwa kwa maneno yake, baada ya kuongoza mitano hii hali imekuwa tofauti na ahadi zake na hivyo watu kuona ni heri ccm kuliko mtu huyu
 
9
Kama ndivyo basi serikali yenu Ni dhaifu ambayo Inaweza kukwamishwa tu na maneno ya wapinzani!
Ukitaka kufahamu udhaifu wa mtu angalia reactions zake hasa pale unapomkosoa atapoteza confidence na kukuchukia balaa
Sawa,kuweni na uvumilivu tu, nina Imani serikali yenu itakapoingia, itamfurahisha kila raia.Kwakua hayo ndo mawazo yako😃.
 
Yah, JPM aliomba kura 2015 kwa kujitenga kabisa na ccm kwamba chagua magufuli na siyo ccm kama ilivyozoeleka kwa maana ya kwamba yeye ni mabadiliko ambayo watu waliyataka. Lkn cha ajabu ameingia ameleta chuki ya kiitikadi, kidini, kikabila kila aina ya chuki miongoni mwa jamii moja. Kwa sasa tuko pamoja kwa sababu tu ya uvumilivu wa watz lakini tungeshakuwa tumevurugana sana. Tunataka siasa kama za Raila na kenyatta. Siasa ni tofauti ya kimtizamo, siyo vita na uadui alio tuletea JPM.
 
Hawa ukichunguza utagundua wengi wao ni wale waliokuwa wakienda mjini wanafanya ujanja ujanja ikifika jioni mifukoni imejaa pesa,kwahiyo awamu hii kwao ni mwiba...
Msalimie shemeji tako hapo nyumbani
Ni kichaa tuu anayeweza kubariki ufisadi.Hata hivyo Maendeleo yataletwa na kundi la wachache na wenye uzalendo madhubuti,Tulia Nchi tuijenge kwanza hayo ya ufisadi sio kipaumbele kwa sasa
Utakuwa unatoka kuphilwa lumumba, akili huna
 
Sa si Bora haijachimbwa haipotei IPO tu.
Sawa, lakini huu sio ule ulimwengu wa akina Nyerere wa kusema "iache tu ikae, haiozi"!

Huu ni ulimwengu ambao maendeleo ya teknolojia yanakuwa kwa kasi ya kutisha! Tunaona Tesla hivi sasa wanaongeza uzalishaji wa magari yasiyotumia mafuta!

Kwa miongo kadhaa hivi sasa tumezoea kuona Space Missions zikifanywa na serikali lakini unadhani Elon Musk ni mpumbavu kuwekeza billions kwenye Space X?! I don't think so, kwa sababu kama unaweza kuelewa anachokifanya kupitia Blue Origin; project ya Jeff Bezos... the richest man on earth kwa sasa!!

Jeff Bezos, under Blue Origin wanaamini kwenye sayari za mbali kuna raslimali za kumwaga huko, na hivyo haishangazi kuona wakiwekeza billions of USD ili kutafuta uwezekano wa kuzoa raslimali za huko!

It's a matter of time kabla ya kutokea kwa kile kinachoitwa mars colonization!

Hapo hapo, tusisahau miongo kadhaa iliyopita mkonge lilikuwa ni zao linalotuingizia fedha nyingi za kigeni; lakini wakati watu tunadhani mkonge ungeendelea kututoa maisha yetu yote, kumbe wengine walikuwa maabara kutafuta mbadala wa mkonge!!!

Hata hizo nchi za Kiarabu ambazo zilikuwa zinatamba sana kutokana na utajiri wao wa mafuta, hivi sasa utambaji wao umepungua kidogo, no wonder hivi sasa wanalazimika kufanya alternative investments!

Kwahiyo vile vile usishangae miongo kadhaa ijayo ukaja kusikia gas inazalishwa maabara!! Au ukaja kusikia imeundwa mitambo, including vyombo vya usafiri ambavyo nishati yake ni maji huku sie tukiwa tunaendelea kuikumbatia gas iliyo ardhini na kusema "no hurry, gas haiozi!"

Lakini hata yasipotokea hayo ya kufikirika, bado upo uwezekano wa gas nyingi na nyingi zaidi kugundulika sehemu zingine duniani na hivyo kuifanya bidhaa hiyo isiwe tena na ile thamani kubwa iliyonayo hivi sasa!

Na hapo pia tusisahau Mabwana Mkubwa hivi sasa wanapigia jalamba kule The Arctic ambako watalaamu wanaamini kuna zaidi ya barrel billioni 90 za mafuta na 44 za gas!
Ninachojaribu kusema ni kwamba
 
Mnashindwa kuelewa hii ni serikari ya ccm! Tunajenga na bwawa lililoasisiwa 1975. Hakuna jipya ndugu, swala ni kazi tu
Huu ukweli wananchi wanaujua kwa kiasi gani? Propaganda iliyopo ni ku
Mkuu, asante kwa ufafanuzi. Kuna wasanii wako kwenye kampeni wanapotosha mengi. Sijajua wamelishwa nini, utsikia wakisema hata mabasi ya mwendo kasi yamekuwepo kwa sababu ya wamu hii. Yawezekana hizi nyimbo zao za kudanganyia mapenzi wanazitafsiri katika kudanganyia siasa which is too bad!
 
Hongera sana Mh. Dr. Kikwete kwa kuweka wazi mambo haya japo hukugusia Mradi Umeme wa Gesi ya Mtwara kuwa uliishia wapi.

Naamini iko siku utaweka wazi tujue kwani tulishaamini tungepata umeme wa nafuu kuliko ilivyo sasa.
Hapo kwenye gesi (Tanzania ya gesi) asigusie kabisaa,maana atapunguza kura.
Watu wanataka Rais ambaye hata akipigwa risasi hafi
 
Vijana wanasikitisha sana kisa buku 5 ..wanafikiri haya masuala hayawahusu wajiulize kwenye ile one 1.5trilion iliyoibwa kizembe ingejenga shule ngapi ,miradi ya maji je ,vp umeme ..hopeless ! Linakuja nyenyenye Barabara ukiliuliza halijui kitu ikimuambia juu ya I.R.P (Integrate roads programmes)
Litatoka nduki kazi kusema nyie wapinzani mnapinga kila kitu
 
Makampuni machache yaliyobakia yanayochimba gas kwanza yamestopisha hata uwekezaji kwakuwa serikali wanasema wanapitia upya mikataba. Hata expansion hawafanyi na pesa haziji tena!

Sasa jamani sisi tupo serious kweli?

Ukiongea na haya makampuni utagundua kuwa hatupo serious kabisa sisi watanzania. Ni nani ataleta pesa zake kufanya exploration halafu nyie mje na sheria zenu na kanuni zenu za kubadika. Hatujui wakimaliza ku review watakuja na lipi jipya labda ndio mambo ya kwabana zaidi wawekezaji. Haya makampuni yapo listed huko kwenye nchi zao watu wanaangalia hisa zao! Lets get serious kidogo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…