Mzee Kikwete: Manji alinambia wanamuonea, nikamshauri akae kimya kwani yatapita tu

Mzee Kikwete: Manji alinambia wanamuonea, nikamshauri akae kimya kwani yatapita tu

Make sense lakini hivo vyote alivofanya una uhakika Gani kua japo mkandarasi na mradi ulianza awamu ya 5 ila plan na mawazo yapo toka awamu ya nne? So maybe Kikwete anatake credit zake kiroho safi tu kama Anko magu alivokua anafanya kipindi cha Uhai wake.
Magufuli alipotaka kujipa credit za Mloganzila na terminal II. Hizo porojo atukununua hiyo ni miradi ya JK.

Alikadhalika JK hana mkono kwenye chuo cha siasa Pwani, SGR wala JHNPP, manunuzi ya ndege; walau Samia anaweza sema ameimalizia. Lakini JK hana input hapo zaidi ya kujiingiza tu jina lake.
 
Magufuli alipotaka kujipa credit za Mloganzila na terminal II. Hizo porojo atukununua hiyo ni miradi ya JK.

Alikadhalika JK hana mkono kwenye chuo cha siasa Pwani, SGR wala JHNPP, manunuzi ya ndege; walau Samia anaweza sema ameimalizia. Lakini JK hana input hapo zaidi ya kujiingiza tu jina lake.
I agree.
 
Sema mzee wa Msoga I admire you sio we admire you, we wewe na nani? That man is a disgrace to our country. Hii nchi ilipata bahati mbaya sana na hasara kubwa kuongozwa na huyo mzee.
Imagine kua na Rais ambaye hawezi kusimamia mambo. Anacheka cheka tu na wapiga dili mpaka aibu.

Kuna kipindi nilikua nafuatilia interview yake na Salama, Yaani anazungumza vitu so petty and common mpaka nikakereka
 
Shida ni pale anapojaribu kuelezea hata mobilisation of funds kaanzisha and early project initiatives.

Anyway siwezi kukubishia blind supporter, maana hiyi ni mifano midogo when it comes JK me me me initiatives za nchi hii na mipango ya CCM.

Sidhani kama ata yeye mwenyewe anajisikiliza na kuona the megalomaniac he is.

Kwa audience ya Tanzania sawa ila kama story zake ndio zile akikutana viongozi wa nchi wakitoka hapo, his reputation will be the guy is full of himself and his grandiose.

JK ni narcissistic

Good Morning
Just swallow it...no matter how bitter it is...
 
Jana ilifanyika dua ya kumuombea mfanyabiashara hayati Yusuph Manji katika viwanja vya Karimjee na mmoja wapo ya watu mashuhuri waliokuwepo ni Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa awamu ya nne.

Katika hadhara hiyo, JK akapata wasaa kuongea, anasema kwake yeye Manji alikuwa kama mwanae na alimlea kwani aliachiwa usia na baba yake Manji la jukumu la malezi ya Yusuph.

JK akaongeza zaidi, kuna wakati Yusuph alinipigia(kipindi hiko nimeshatoka madarakani) akawa analalamika kuwa wanamuonea wanambambikia makesi na mambo mengineyo.

Nikamshauri akae kimya kwani nilijua siku moja yatapita tu, Yusuph alikuwa ana urafiki mkubwa sana na mwanangu Miraji.

PIA SOMA
- TANZIA - Yusuf Manji, Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mdhamini wa Yanga SC afariki dunia nchini Marekani
Umeongeza ! Neno "kubambikiwa kesi" hata kama alimaanisha lakini mh JK hakutamka kuwa manji alibambikiwa kesi. Sema huo ni uelewa wetu kuwa neno "kuonewa" ilimaanisha kubambikiwa kesi.
 
Huyo alikua Waziri tangu 1993-2005,akawa rais, kabla alikua jeshini,nyuma huko alikua kiongozi wa yanga,akawa kiongozi wa ccm singida,tabora,lindi, Zanzibar,kakutana na wengi maishani na anajua mengi kuhusu nchi yako,tofauti kabisa na mkemia
Rekebisha bandiko lako! Kikwete kaanza kuwa Naibu Waziri mwaka 1988 na siyo 1993
 
Rekebisha bandiko lako! Kikwete kaanza kuwa Naibu Waziri mwaka 1988 na siyo 1993
Waziri na naibu Waziri ni vyeo tofauti,mi nimeandika waziri,naibu Waziri haingii kwenye vikao vya Baraza la mawaziri
 
Back
Top Bottom