Mzee Kikwete: Manji alinambia wanamuonea, nikamshauri akae kimya kwani yatapita tu

Magufuli alipotaka kujipa credit za Mloganzila na terminal II. Hizo porojo atukununua hiyo ni miradi ya JK.

Alikadhalika JK hana mkono kwenye chuo cha siasa Pwani, SGR wala JHNPP, manunuzi ya ndege; walau Samia anaweza sema ameimalizia. Lakini JK hana input hapo zaidi ya kujiingiza tu jina lake.
 
I agree.
 
Sema mzee wa Msoga I admire you sio we admire you, we wewe na nani? That man is a disgrace to our country. Hii nchi ilipata bahati mbaya sana na hasara kubwa kuongozwa na huyo mzee.
Imagine kua na Rais ambaye hawezi kusimamia mambo. Anacheka cheka tu na wapiga dili mpaka aibu.

Kuna kipindi nilikua nafuatilia interview yake na Salama, Yaani anazungumza vitu so petty and common mpaka nikakereka
 
Just swallow it...no matter how bitter it is...
 
Umeongeza ! Neno "kubambikiwa kesi" hata kama alimaanisha lakini mh JK hakutamka kuwa manji alibambikiwa kesi. Sema huo ni uelewa wetu kuwa neno "kuonewa" ilimaanisha kubambikiwa kesi.
 
Huyo alikua Waziri tangu 1993-2005,akawa rais, kabla alikua jeshini,nyuma huko alikua kiongozi wa yanga,akawa kiongozi wa ccm singida,tabora,lindi, Zanzibar,kakutana na wengi maishani na anajua mengi kuhusu nchi yako,tofauti kabisa na mkemia
Rekebisha bandiko lako! Kikwete kaanza kuwa Naibu Waziri mwaka 1988 na siyo 1993
 
Rekebisha bandiko lako! Kikwete kaanza kuwa Naibu Waziri mwaka 1988 na siyo 1993
Waziri na naibu Waziri ni vyeo tofauti,mi nimeandika waziri,naibu Waziri haingii kwenye vikao vya Baraza la mawaziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…