kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Nadhani upo wakati ukiwa mwanasiasa uchungu na rasilimali za nchi unaweka pembeni unawaza chama au familia Kwanza.
Mhe. JK anatuaminisha kwamba uwanja wa Chato ni kwaajili ya wana Geita, najiuliza kweli mtu atoke Geita town na viunga vyake aende kupanda ndege chato badala ya Mwanza?
Kwanini yeye hakujenga uwanja mkoa wa Pwani? Kwamba kipaumbele vya mkoa wa Geita ameona ni uwanja ndege? Hakuna shule, maji na miundombinu mingine bado hayaoni?
Sawa ni ndege, je toka umejengwa huo uwanja Kuna ndege inaenda huko? Kuna abiria? Bukoba kuna uwanja, Kigali, Kampala, bunjumbura, Mwanza nk Kuna viwanja vya ndege.
Kimkakati soko la huo uwanja linategemewa kuwa abiria wa upande gani?