Mzee Kikwete: SGR iliasisiwa na Hayati Mkapa na Mimi wakati namkabidhi Madaraka hayati Magufuli nilimsihi aanze Utekelezaji wa mradi!

Mzee Kikwete: SGR iliasisiwa na Hayati Mkapa na Mimi wakati namkabidhi Madaraka hayati Magufuli nilimsihi aanze Utekelezaji wa mradi!

Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu

Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake

Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria

Source: ITV Habari
Yaani miradi kwa fedha zetu lakini sifa kwa malkia kiboko mpenda-sifa!
 
Mimi mpaka Leo Huwa naamini kabsaa kulikuwa na mafaili mengi ambayo Jk alisita kuyafanyia kazi Ili kuogopa lawama lakini Jpm aliyafanyia kazi.
Huenda Jk akawa mkweli kiasi flani
 
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu

Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake

Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria

Source: ITV Habari
Kwahiyo alituchelewesha kwa miaka yake kumi, hakufanya lolote mpaka JPM
 
..Na mashirika yalianza kuuzwa wakati wa Mzee Mwinyi.

..kipindi cha Mzee Mwinyi mashirika ya Bia, na Sigara, yalikuwa ya kwanzakwanza kuuzwa.

..pia TRA iliundwa wakati wa Mzee Mwinyi kutokana na kazi na mapendekezo ya Tume ya Edwin Mtei.

Asante. Ila Mzee Mkapa personalized the whole process of public companies restructuring. His good friend, Andy Chande, gave away most of the companies to his friends, who in turn, did not do anything to make the companies functioning.
 
Walidhani wazo lilitoka kwa Mwendazake kumbe tangia "Nzee Nkapa".

Sema Jiwe alithubutu kuianza SGR na Stegolaz(JNHPP). watangulizi wenzake walishindwa.

Ni kweli. He did not start anything out of nowhere. He just implemented projects which were in the shelves for a long time. Labda lile daraja la Busisi tu ndio maamuzi yake
 
Aseme aliyofanikisha yeye, asitake ujiko.. atatambuliwa aliyethubutu na kufanya.. ye atakumbukwa kwa aliyoyafanya pia.

Alisema kwa Luninga na radio. Kusema na kuongea pia nayo ni kazi. Na kushuhudia Escrow ikitokea ni kazi kubwa zaidi
 
Asante. Ila Mzee Mkapa personalized the whole process of public companies restructuring. His good friend, Andy Chande, gave away most of the companies to his friends, who in turn, did not do anything to make the companies functioning.

..watu wanasahau kwamba kuuza mashirika alianza Mzee Mwinyi, na ndiye aliyeanzisha PSRC.

..kwa msingi huo kuuza mashirika kulikuwa hakuepukiki kwa yeyote ambaye angeongoza Tanzania kati ya 1995 to 2005.

..pia tunapaswa kufahamu kwamba serikali kwa wakati huo ilikuwa haina fedha za kuendesha hayo mashirika hivyo kuanza ilikuwa jambo la busara.

..jambo ambalo serikali ilikosea ni kwamba haikuweka mazingira rafiki kwa mashirika kuzalisha baada ya kuuzwa.

..Sera zetu toka wakati tunauza mashirika mpaka leo hii ziko rafiki zaidi kwa importers kuliko wazalishaji wa ndani wa bidhaa.
 
Back
Top Bottom