Mzee Kikwete: SGR iliasisiwa na Hayati Mkapa na Mimi wakati namkabidhi Madaraka hayati Magufuli nilimsihi aanze Utekelezaji wa mradi!

The best president ever seen is kikwete. He opened up everything and private sector was shining like U.S.A. mafuli to the contrary banned it and the economy was in I.C.U under him
 
And vice versa is true to the best of my knowledge
 
Mataluma ya reli yalipimwa sana kama vyuma chakavu enzi zake, na hapakua na action yoyote kuwasaka kwani reli haikua tena kipaumbele cha taifa enzi hizo
 
Rais mchapakazi, Yeye na Mkapa ndio waliojenga SGR na Samia amekuja kuzindua tu. Tuwashukuru kwa moyo wa uzalendo.
Unatatizo la uelewa mkapa na kikwete walianzisha Kwa maongezi tu ,hawakuwa na pesa ,magu alikuja kujenga waliyoyaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…