Mzee Kikwete: SGR iliasisiwa na Hayati Mkapa na Mimi wakati namkabidhi Madaraka hayati Magufuli nilimsihi aanze Utekelezaji wa mradi!

🤔🤔🤔🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷 mmmhhhh
 
Babu anapenda sana kujipakulia MINYAMA 😂😂😂
 
..Na mashirika yalianza kuuzwa wakati wa Mzee Mwinyi.

..kipindi cha Mzee Mwinyi mashirika ya Bia, na Sigara, yalikuwa ya kwanzakwanza kuuzwa.

..pia TRA iliundwa wakati wa Mzee Mwinyi kutokana na kazi na mapendekezo ya Tume ya Edwin Mtei.
TRA iliundwa na Mkapa ila mchakato wake ulianzia Serikali ya Mwinyi 😂
 
Huyu naye anazeeka vibaya. Anajipapatua sana. Si angenyamaza tu. Anajisikia vibaya kila anapoona matukio ya wenzie.
 
Walikuwa wanapiga siasa tu.

Kwenye kampeni za uchaguzi 2005 mgombea ubunge wa CCM jimbo la Msalala,Ezekiel Maige alikuwa anaambia vijana waandae driving licence maana upembuzi yakinifu tayari muda wowote ujenzi utaanza na atahakikisha ajira hizo wanapata wazawa wa hapo Isaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…