Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Na mashirika yalianza kuuzwa wakati wa Mzee Mwinyi.
..kipindi cha Mzee Mwinyi mashirika ya Bia, na Sigara, yalikuwa ya kwanzakwanza kuuzwa.
..pia TRA iliundwa wakati wa Mzee Mwinyi kutokana na kazi na mapendekezo ya Tume ya Edwin Mtei.
Babu anapenda sana kujipakulia MINYAMA 😂😂😂Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
TRA iliundwa na Mkapa ila mchakato wake ulianzia Serikali ya Mwinyi 😂..Na mashirika yalianza kuuzwa wakati wa Mzee Mwinyi.
..kipindi cha Mzee Mwinyi mashirika ya Bia, na Sigara, yalikuwa ya kwanzakwanza kuuzwa.
..pia TRA iliundwa wakati wa Mzee Mwinyi kutokana na kazi na mapendekezo ya Tume ya Edwin Mtei.
Una asilimia ya performance?kwani uuzwaji wa mashirika ya umma alikosea (Mkapa) wapi? mbona mengi leo yanafanya vizuri sana tu?
Naah nyerere ndiye muasisiTRA iliundwa na Mkapa ila mchakato wake ulianzia Serikali ya Mwinyi 😂
Una asilimia ya performance?
Mbona mnamchukia bure huyu mtu. Mimi hua nashangaa maana sielewi.Uyu mzee akifa nitakesha bar nanunulia watu bia
Aisee, kwanini?Uyu mzee akifa nitakesha bar nanunulia watu bia
Hekima Gani Hawa wapuuzi sana TU!Usishabikie mkuu. Tuwaheshimu viongozi wetu. Kuna kesho bosi. Usione nchi zingine hazijatulia, tumshukuru Mungu kwa hekima za viongozi wetu
Mwalimu anapaswa awe "Babu wa Taifa" na Mkapa awe "Baba wa Taifa".hakuna ambacho hakijaasisiwa na B.Mkapa nchi hii hata yeye mwenyeye, uraisi wake ofcourse …
Huyu naye anazeeka vibaya. Anajipapatua sana. Si angenyamaza tu. Anajisikia vibaya kila anapoona matukio ya wenzie.Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Unataka kumsingizia kikwete ana hekima? Acha kabisa kuongea uongo utapata dhambi bure.Usishabikie mkuu. Tuwaheshimu viongozi wetu. Kuna kesho bosi. Usione nchi zingine hazijatulia, tumshukuru Mungu kwa hekima za viongozi wetu
Duhh! Punguza kukufuru ndugu kwa maneno ya vijiwe vya kahawa na Bodaboda kwa kujazana ujinga....Uyu mzee akifa nitakesha bar nanunulia watu bia
Mzee alipenda mabembea na kuzurura nje ya Nchi,Faza ametusokota...🤣