Miswada ya dharura aliyopeleka bungeni kuhusu gas ilihusu nini, na kwanini wasomi wengi waliipigia keleleMengine ni team za mafisadi kutumia watu wenye akili za kucheza na akili za watanzania kuwapa mtazamo wa upotoshaji mnao urudia-rudia..
Uhalisia ni kwamba JK alijaribu kulinda gas na hakutaka mkataba uwe kipindi chake; mengine ni kuamini fake news tu na hata Muhongo sheria zake zilikuwa ni kulinda rasimali.
Shida ya JK ni kudandia mafanikio ya wenzake kujifanya na yeye anahusika.
Humo kwenye SGR amesafiri ili atengeneze mbinu za kuidhoofishaHuu mradi wa SGR baada ya miezi sita tu chali. Hao hao wakina kikwete wanaomiliki makampuni ya usafirishaji ndio watakao kuwa mstali wa mbele kuihujumu, raisi Samia aangalie asiwachekee hata kidogo
Wasomi gani waliopinga zaidi ya Zitto Kabwe (ambae clue less) aliekuwa anapiga makelele kwa mshiko wa wazungu kuishinikiza serikali.Miswada ya dharura aliyopeleka bungeni kuhusu gas ilihusu nini, na kwanini wasomi wengi waliipigia kelele
You winHujui hata EPA ni kazi ya lini!!.. kikwete huwezi mlinganisha na yeyote kwenye ujenzi miundombinu na kuukimbiza uchumi,itakua ilianza fuatilia mambo kipindi Cha smartphone
Mtajuana wenyewe kama vipi uaneni tuu 🤣🤣Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Ila ni nina kadi ya chama na umoja wa vijana.Hujui hata EPA ni kazi ya lini!!.. kikwete huwezi mlinganisha na yeyote kwenye ujenzi miundombinu na kuukimbiza uchumi,itakua ilianza fuatilia mambo kipindi Cha smartphone
Kuwa na kadi ya yanga si kuijua yangaIla ni nina kadi ya chama na umoja wa vijana.
Huyu mzee ni tapeli haswaRais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Mhujumu uchumi haswaHuyu Mzee ni mchawi wa watanzania wote
Huyu mzee ana matatizo makubwa. Atulie ale Pensheni.Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Hapo alitaka kusema iliasisiwa na yeye ila akajishtukia akatelezeshea kwa mtangulizi wake kwakuwa hawezi kupinga ametangulia mbele za haki,Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Nilisahau kumbe mwenye akili alikuwa ni kikwete sawa mjuaji?Una uhakika unazijua akili!?..tumuache Nyerere,mkapa alionesha akili gani kwenye utawala wake!?
Too bad utaanza kufa wewe kwanza,maisha ya kukesha bar huku UNAJIFUKIZA NA SHISHA NA POMBE KALI KWANINI USIAGE MASHINDANO MAPEMA??Uyu mzee akifa nitakesha bar nanunulia watu bia
Hakuna raisi bora kuwahi kutokea nchi hii kumzidi kikwete,kwasababu hata uhuru ni yeye ndie alifunga safari hapa mpaka uingereza kuomba uhuru ila ndio hivyo tu mzee ni mwanadiplomasia mno akaamua tu amchomekee nyerereKikwete kumtaja Mkapa kafanya diplomasia tu kama kawaida yake. Ukweli ni kuwa Kikwete alikuwa tayari kishamaliza mapatano na China na alikuwa anangoja financing tu.
Hata hapa JF liliwahi kuandikwa kuwa mkataba ulikuwa uwe wa 7.4 billion Dollars, alipoingia magufuli akabadili na kuwapa Waturuki, lakini ukweli ni kuwa hata Upembuzi yakinifu ulikuwa tayari umeshafanywa.
Jikumbushe:
RIDING THAT TRAIN, HIGH ON COCAINE: Standard Gauge Railways In Kenya and Tanzania - The Elephant
Kenya has both narrow and standard gauge railways running in parallel between Mombasa and Nairobi. Tanzania is gearing up to build a standard gauge line to Morogoro and beyond while it goes ahead with rehabilitating the existing metre gauge line. The SGR is portrayed as an ambitious regional...www.theelephant.info
Kwa maana hiyo hata mradi wa Steiglers gorge ulikuwa tayari ufanywe na Brazil. Mradi wa Magufuli na wa eyapoti ya Chato na Daraja la mwanza kuelekea kwao.
Hpo unasema uongo. Uhuru wetu haukwenda kudaiwa Uingereza.Hakuna raisi bora kuwahi kutokea nchi hii kumzidi kikwete,kwasababu hata uhuru ni yeye ndie alifunga safari hapa mpaka uingereza kuomba uhuru ila ndio hivyo tu mzee ni mwanadiplomasia mno akaamua tu amchomekee nyerere
Ofcoz,wengi wanapenda kuona SAMIA anafeli ili wapate cha kusema na kumwangusha...Nakubali. Ni kweli.kabisa Kuna miradi mingi sana iliasisiwa na Mkapa, Kikwete pia. Tena hii miradi inayokwenda na wakati mingi ni ya Kikwete...framework ziliwekwa na hayati Ally Mwinyi...
Ni vile tu wakati huo haukuwa kama siku hizi, Rais alikuwa akifanya kitu hasemi sana .
Na pia Kuna watu inawauma sana Samia kufanikiwa kumaliza miradi. Walijua hataweza, Alhamdulilah ameweza