Mzee Kikwete: SGR iliasisiwa na Hayati Mkapa na Mimi wakati namkabidhi Madaraka hayati Magufuli nilimsihi aanze Utekelezaji wa mradi!

Bado umeshindwa kujiheshimu?

Hapana, huelewi maana ya kuanzishwa, huwezi kuanza kujenga bila ramani. Na ramani huanza na wazo. Kikwete nasema, wazo kipindi cha Mkapam ramani ya kwanza kaichoresha kagame, shirika la Kamarekani. Magufuli kafikish asilimia 30 ya kipande cha Morogoro Dr Morogoro tu, mama samia kakimalizia hicho na kakimalizia kipande kikubwa zaidi cha Moro Dom na kwengine kote kishaanza kwa hatua mbali mbali.

Msijitowe ufahamu, kisa nini cha kujitowa ufahamu? Chuki za kijinga au ubaguzi?
imi binfasi, jibu hija punguwani wahed.
 

Dar - Dom- Isaka - Mwanza ni Magufuli

Dom- Isaka - Kigoma ni Samia
 
Hatuwezi kumsifu aliyeferi kaishia kuchora ramani pekee ilihali kuna aliyefanya ramani iwe kitu halis, kwani ramani inachukua miaka mingapi kuchorwa?

Upunguwani unao wewe na chuki ni zako wewe
 
Hatuwezi kumsifu aliyeferi kaishia kuchora ramani pekee ilihali kuna aliyefanya ramani iwe kitu halis, kwani ramani inachukua miaka mingapi kuchorwa?

Upunguwani unao wewe na chuki ni zako wewe
Jifunze kuandika vizuri kwanza. Sijaiona "feri" kwenye reli.
 
Badala ya kuchakata akili zetu ni vipi tunaweza kuhakikisha hizi treni gharama yake itakuwa affordable kwa walala hoi tunaanza kujadili ni nani alileta wazo !!!! Na hapo Mwananchi anayelipia through Kodi au Mikopo kulipa Riba wala haongelewi...
 
Hatuko darasani mkuu, usipaniki, ila elewa hivi, wananchi tunataka kitu halisi na siyo ramani, JPM kawafundisha marais wote na wananchi kwamba, kumbe Tanzania inawezekana kufanya mambo makubwa
Kitu halisi ndiyo hicho mama Samia anakifanya, au ukisoma huelewi? Una macho lakini hayaoni?

Uliiona treni ya SGR ikifanya kazi wakati wa Nyerere, Mwinyi Mkapa, Kikwete, Magufuli? Mimi sijaona, naioa wakati wa Rais mwanamke shupavu, mama Samia Suluhu Hassan

Mwanamke wa kwanza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amira jeshi wa kwanza wa Tanzania.
 
UDINI NA UBAGUZI TUH UMEWAJAA,KAZI ANAYOIFANYA PREZOO SAMIA NI KUBWA NA YA KUTUKUKA SANA,DAIMA TUTAKUWA NYUMA YA MAFANIKIO YAKE NA KUJIVUNIA NAYE.
 
JPM, Mkapa na Kikwete wanatoka vyama tofauti?. Tupunguze kueneza chuki za kitoto.
 
UDINI NA UBAGUZI TUH UMEWAJAA,KAZI ANAYOIFANYA PREZOO SAMIA NI KUBWA NA YA KUTUKUKA SANA,DAIMA TUTAKUWA NYUMA YA MAFANIKIO YAKE NA KUJIVUNIA NAYE.
Kikwete "kosa" alilofanya ni kijitaja yeye na kumtja Mama Samia Suluhu.

Angetajwa Mkapa na Magufuli hawa wajinga wajinga wenye ubaguzi kwa ujinga wao tu wangekaa kimya kabisa, na ndiyo lengo lao, wauzime ukweli.

Tunawahakikishia hawataweza kuuzima ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…