Mzee Kikwete: SGR iliasisiwa na Hayati Mkapa na Mimi wakati namkabidhi Madaraka hayati Magufuli nilimsihi aanze Utekelezaji wa mradi!

Bado umeshindwa kujiheshimu?

Hapana, huelewi maana ya kuanzishwa, huwezi kuanza kujenga bila ramani. Na ramani huanza na wazo. Kikwete nasema, wazo kipindi cha Mkapam ramani ya kwanza kaichoresha kagame, shirika la Kamarekani. Magufuli kafikish asilimia 30 ya kipande cha Morogoro Dr Morogoro tu, mama samia kakimalizia hicho na kakimalizia kipande kikubwa zaidi cha Moro Dom na kwengine kote kishaanza kwa hatua mbali mbali.

Msijitowe ufahamu, kisa nini cha kujitowa ufahamu? Chuki za kijinga au ubaguzi?
imi binfasi, jibu hija punguwani wahed.
 
Dar - Dom- Isaka - Mwanza ni Magufuli

Dom- Isaka - Kigoma ni Samia
 
Hapana, huelewi maana ya kuanzishwa, huwezi kuanza kujenga bila ramani. Na ramani huanza na wazo. Kikwete nasema, wazo kipindi cha Mkapam ramani ya kwanza kaichoresha kagame, shirika la Kamarekani. Magufuli kafikish asilimia 30 ya kipande cha Morogoro Dr Morogoro tu, mama samia kakimalizia hicho na kakimalizia kipande kikubwa zaidi cha Moro Dom na kwengine kote kishaanza kwa hatua mbali mbali.

Msijitowe ufahamu, kisa nini cha kujitowa ufahamu? Chuki za kijinga au ubaguzi?
imi binfasi, jibu hija punguwani wahed.
Hatuwezi kumsifu aliyeferi kaishia kuchora ramani pekee ilihali kuna aliyefanya ramani iwe kitu halis, kwani ramani inachukua miaka mingapi kuchorwa?

Upunguwani unao wewe na chuki ni zako wewe
 
Jifunze kuandika vizuri kwanza. Sijaiona "feri" kwenye reli.
 
Badala ya kuchakata akili zetu ni vipi tunaweza kuhakikisha hizi treni gharama yake itakuwa affordable kwa walala hoi tunaanza kujadili ni nani alileta wazo !!!! Na hapo Mwananchi anayelipia through Kodi au Mikopo kulipa Riba wala haongelewi...
 
Hatuko darasani mkuu, usipaniki, ila elewa hivi, wananchi tunataka kitu halisi na siyo ramani, JPM kawafundisha marais wote na wananchi kwamba, kumbe Tanzania inawezekana kufanya mambo makubwa
Kitu halisi ndiyo hicho mama Samia anakifanya, au ukisoma huelewi? Una macho lakini hayaoni?

Uliiona treni ya SGR ikifanya kazi wakati wa Nyerere, Mwinyi Mkapa, Kikwete, Magufuli? Mimi sijaona, naioa wakati wa Rais mwanamke shupavu, mama Samia Suluhu Hassan

Mwanamke wa kwanza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amira jeshi wa kwanza wa Tanzania.
 
Hapana, huelewi maana ya kuanzishwa, huwezi kuanza kujenga bila ramani. Na ramani huanza na wazo. Kikwete nasema, wazo kipindi cha Mkapam ramani ya kwanza kaichoresha kagame, shirika la Kamarekani. Magufuli kafikish asilimia 30 ya kipande cha Morogoro Dr Morogoro tu, mama samia kakimalizia hicho na kakimalizia kipande kikubwa zaidi cha Moro Dom na kwengine kote kishaanza kwa hatua mbali mbali.

Msijitowe ufahamu, kisa nini cha kujitowa ufahamu? Chuki za kijinga au ubaguzi?
UDINI NA UBAGUZI TUH UMEWAJAA,KAZI ANAYOIFANYA PREZOO SAMIA NI KUBWA NA YA KUTUKUKA SANA,DAIMA TUTAKUWA NYUMA YA MAFANIKIO YAKE NA KUJIVUNIA NAYE.
 
Bado umeshindwa kujiheshimu?

Kwa sababu wewe ulichoandika ndio kujitoa ufahamu, Ramani tangu lini iwe kitu halisi?

Hivi hujui kwamba unaweza kutembea na wazo kwamba, ungetamani ufikie Uprof na bado ukafa usifikie wazo hilo?

Sisi tutakusifu na kukuheshimu pindi wazo litakapoleta uhalisia

Yaani kwa akili yako unataka tusifie ramani? Huo ndo ujinga

Unataka tumsifu aliyeishia kuchora ramani SGR badala ya aliteifanyia kazi ramani? Unajua hiyo ramani ilichorwa miaka mingapi hadi JPM akaja kuwa ndie mwanzilishi wa kuchukua hatua kivitendo kujenga SGR?

Hatuwezi kuwasifu wenye ramani ilihali kunawatu wamejenga, heshima ni kwa wanaojenga? Huwezi itwa baba mwenye ramani badala ya baba mwenye nyumba
JPM, Mkapa na Kikwete wanatoka vyama tofauti?. Tupunguze kueneza chuki za kitoto.
 
UDINI NA UBAGUZI TUH UMEWAJAA,KAZI ANAYOIFANYA PREZOO SAMIA NI KUBWA NA YA KUTUKUKA SANA,DAIMA TUTAKUWA NYUMA YA MAFANIKIO YAKE NA KUJIVUNIA NAYE.
Kikwete "kosa" alilofanya ni kijitaja yeye na kumtja Mama Samia Suluhu.

Angetajwa Mkapa na Magufuli hawa wajinga wajinga wenye ubaguzi kwa ujinga wao tu wangekaa kimya kabisa, na ndiyo lengo lao, wauzime ukweli.

Tunawahakikishia hawataweza kuuzima ukweli.
 
Back
Top Bottom