Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
RADAR, EPA, ....,Ufisadi upi na upi ambao ni "mkubwa sana" kwenye awamu ya Mkapa ukamsumbua Kikwete!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RADAR, EPA, ....,Ufisadi upi na upi ambao ni "mkubwa sana" kwenye awamu ya Mkapa ukamsumbua Kikwete!!??
Chombo kilichokusanya mapato effectively ni TRA,ambayo ni kazi ya mwinyi,baada ya kuwajenga watz kuwa wafanyabiashara Sasa ikaja hatua ya kukusanya Kodi,so no,kwa msingi huo mwinyi ndiye aliyewawekea waliofuata msingi mzuri wa uchumi..madeni tulisamehewa kutokana na serikali ya Mkapa kuonyesha jitihada ya kuyalipa, nidhamu ya kukusanya kodi, na kampeni ya kutaka madeni ya nchi masikini yafutwe.
..hoja yangu ni kwamba, Mkapa aliwezesha kusamehewa madeni, na kurudisha imani ya wakopeshaji kwa Tanzania. Huo ndio msingi uliowawezesha Kikwete, Magufuli, na Samia, kutenga mapato ya ndani, au kupata mikopo, kwa ajili ya maendeleo.
Watu wa magu hamupendi ukweliSGR ni ya MAGUFULI. Miradi ya kikwete ni RICHMOND, DOWABS, EPA, tezi dume nk.
Mungu yupo lakini.Chunga kinywa chakoUyu mzee akifa nitakesha bar nanunulia watu bia
akili za kuambiwa changanya na zako,,,,,!!!!Yapo documented,hata humu jf ukiyasachi utayapata,brt,sgr,jhp ni mipango ilikuwepo,vipindi vya urais vingekua miaka 15,hayo yangefanyika na mkapa na kikwete
Magufuli kaanza kuujenga lakini halikuwa wazo lake wala haukuanzia na yeye.SGR ni ya MAGUFULI. Miradi ya kikwete ni RICHMOND, DOWABS, EPA, tezi dume nk.
Hujui hata EPA ni kazi ya lini!!.. kikwete huwezi mlinganisha na yeyote kwenye ujenzi miundombinu na kuukimbiza uchumi,itakua ilianza fuatilia mambo kipindi Cha smartphoneakili za kuambiwa changanya na zako,,,,,!!!!
ni wakati wake ndiyo RICHMOND, EPA ESCROW zilisikika, kama angekuwa mthubutu kweli basi ingekuwa kinyume.
He neither better not best, he just puffing himself no more.
Kama yupo kwann hachukui watu wanaaotesa mamilion ya watanzania?Mungu yupo lakini.Chunga kinywa chako
Chombo kilichokusanya mapato effectively ni TRA,ambayo ni kazi ya mwinyi,baada ya kuwajenga watz kuwa wafanyabiashara Sasa ikaja hatua ya kukusanya Kodi,so no,kwa msingi huo mwinyi ndiye aliyewawekea waliofuata msingi mzuri wa uchumi
Aache uongo, gesi aliyoahidi iko wapiRais wa awamu ya 4 mzee Kikwete Leo amesafiri kwa TREN ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Morogoro na kusema safari yao wametumia muda wa saa 1 na dakika 49 tu
Mzee Kikwete amesema mradi wa SGR iliasisiwa na hayati Mkapa na ilipofika awamu ya Shujaa Magufuli ndio alianza Kuutekeleza lakini kwa bahati mbaya hakushuhudia matunda ya Juhudi zake
Mzee Kikwete amemshukuru Sana Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kwa kuendelea kuukamilisha mradi huu ambapo Kesho Treni ya SGR itatoka DAR ES SALAAM hadi Dodoma ambayo ni mafanikio ya kihistoria
Source: ITV Habari
Kuwadhurumu watanzania gas kunamuumiza sana roho, anatafuta kiki ila hapati, bora angekaa kimya kama PM wakeHuyu mzee anahitaji matibabu ya faraja. Anaonekana kudata na uzee na mihadarati.
Mpuuzi sana, angezungumzia faida za gas aliyopora MtwaraJK anapenda sana kutembea na hot news
Kwenye gas Kikwete alicheza kama Pele lawama mnazompa ni za kumsingizia tu.Mpuuzi sana, angezungumzia faida za gas aliyopora Mtwara
Sgr inapaswa kufika Mwanza na Kigoma ili kuleta faida kwa nchi, kuishia Dom haina faida wala maana yoyote...kuna UPIGAJI mkubwa na UCHELEWESHAJI katika mradi SGR.
Kuna makapi bado yanadunda tu na kucheka kinafki na iko siku yatambwaga Bimkubwa kama ilivyo desturi yao kuhujumu miradi mikubwa kwa maslahi binafsiKama mabasi ya mwendokasi yametushindwa kuendesha,tutaweza treni?
Huu mradi wa SGR baada ya miezi sita tu chali. Hao hao wakina kikwete wanaomiliki makampuni ya usafirishaji ndio watakao kuwa mstali wa mbele kuihujumu, raisi Samia aangalie asiwachekee hata kidogo