saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na Mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza
CHANZO: Mwanachi Instagram
--
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza.
Akizungumza leo Oktoba 07, 2022 na Clouds Media Group ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 72 Kikwete amesema huwa anashangaa kusikia kwamba Membe ni ndugu yake.
“Huu undugu huwa siuelewi, Membe sio ndugu yangu yeye Mmwera, mie Mkwere sasa undugu huo vipi. Membe nilikuja kufahamiana naye baadaye sana katika harakati za kazi.”