Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

Paul sylvester niliyemquote ndiye kasema kwa sasa haki ipo kwa wote. Nilifikiri ungemuuliza yeye imewezekanaje!
 
Paul sylvester niliyemquote ndiye kasema kwa sasa haki ipo kwa wote. Nilifikiri ungemuuliza yeye imewezekanaje!
kwa mtizamo wake huenda yupo sahih coz kila mtu huyatizama mambo katika angle tofauti.
 
Mwachen jaman.. Vyuma vilikaza kwa msimu huu wa miaka mitano
 
Nipo mchinga kwa sasa.mama hana chacke na analijua hilo.jama kwenye kampeni za uzinduzi jimboni kwake anadai eti alilazimishwa kugombea.

Mchinga ni la mtoto mwema mwaka huu
 
Aisee! Kuna binadamu wanakula mema ya nchi vizuri sana, kutoka kuwa 'first lady' kwa miaka 10 mpaka mbunge wa kuteuliwa na sasa anachukua Jimbo.

Kila laheri Mama Salma kwenye harakati za kutwaa jimbo.
Nawe jifunze utii ule mema ya nchi
 
Aligombea Jimbo gani?
 
Sasa hizo personal issues zao mwananchi zinamuhusu nini; kweli matatizo yamekwisha hadi kuachika au kutokuachika kwa mtu kunapewa platform na kuongelewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…